candygrapez
Member
- Jul 21, 2009
- 12
- 2
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.