Natafuta ardhi ya kuanzisha Biashara ya Wanyama (Ranchi), mkoa wa Kagera na Tabora

Ghost Republic

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
544
400
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.

Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana. Wanyama nitakaofuga ni ng'ombe, mbuzi, na kondoo. Naswasilisha mahitaji yangu kwa wote wenye ujuzi au taarifa kuhusu hili.

"Omba, nawe utapewa; tafuta, nawe utaona; bisha, nawe utafunguliwa." (Mathayo 7:7)
 
Habari za asubuhi ningeomba nikupatie number za wafugaji waliopo kagera wakusaidie mawazo ktk upande huo. PM please.
 
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.

Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana. Wanyama nitakaofuga ni ng'ombe, mbuzi, na kondoo. Naswasilisha mahitaji yangu kwa wote wenye ujuzi au taarifa kuhusu hili.

"Omba, nawe utapewa; tafuta, nawe utaona; bisha, nawe utafunguliwa." (Mathayo 7:7)
kuna namba ya jamaa nikupe? ni mdau mkubwa hapo Tabora tuseme mtoto wa mjini na mtu wa serikali
 
Back
Top Bottom