Natafuta jina la NGO

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Natafuta jina la kuipa NGO ambayo shughuli zake tofauti zitakuwa kuboresha maisha ya watu wa kawaida wa kila rika nchini Tanzania. Jina linaweza kuwa la Kiingereza au kiswahili, lakini liwe fupi na lenye kuleta mvutio. Natanguliza shukrani.
 
Mwenzetu kaomba maoni kuhusu jina na siyo aina ya shughuli atakazo kufanya au walengwa wa shughuli hizo.

Mkuu unayeomba ushauri.... jina litakalofaa napendekeza kwanza ingia kwenye data base ya NGOs...angalia website ya Foundation for Civil Societies utaona NGOs mbalimbali na majina au uliza ofisi ya Makamu wa Rais kitengo kinachoshughulika na NGOs - hii itakusaidia usitumia jina ambalo tayari lipo.
 
Asante sana kwa ushauri WOS. God bless.
 
Ili kushauri jina inabidi kujua nilivyouliza dada, au?
 
Tunataka kufanya projects mbalimbali katika nyanja tofauti kutegemea na umuhimu au ulazima wa kila mahali maalum katika nyanja nilizotaja hapo juu.
 
Kuboresha Maisha ya Watu wa Kawaida wa kila rika nchini Tanzania. tumia vifupi hivyo nilivyo bold.
 
Asanteni sana wadau, nimeshapata jina na sasa tupo njiani kusajili NGO. Pindi ikipata usajili, nitawajulisheni jina na projects ambazo tutaanza nazo humuhumu kwenye tuta kwa vile nategemea kupata wataalamu wa nyanja husika kutoka kwenu. Kila la heri.
 
Tunataka kufanya projects mbalimbali katika nyanja tofauti kutegemea na umuhimu au ulazima wa kila mahali maalum katika nyanja nilizotaja hapo juu.

Ni lazima u-define scope kabla ya kupata jina, na pia si dhani kama kuna NGO inafanya projects mbali mbali katika nyanja tofauti--- andaaa vision yako na mission statement, mara nyingi hivyo viwili huleta idea nzuri ya identity ya NGO yako na hivyo jina lake

La sivyo waweza kuiita jina lolote hata Arsene Wenge (Mr. Bean) relief agency; Non Guide Operational; Vijana chapa kazi movement...

Bila dira hutakuwa na mafanikio, na jina hu-reflect dira mkuu

...unless you are just teasing the forum

....Dad:rolleyes:
 
Asanteni sana wadau, nimeshapata jina na sasa tupo njiani kusajili NGO. Pindi ikipata usajili, nitawajulisheni jina na projects ambazo tutaanza nazo humuhumu kwenye tuta kwa vile nategemea kupata wataalamu wa nyanja husika kutoka kwenu. Kila la heri.

He.... Mimi nikajua aliyeomba ni Dingswayo!!! au mko pamoja???

I smell fish aisee
 
Back
Top Bottom