natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

Neytemu

Member
Nov 7, 2010
83
1
Salaamu wakuu!

Ninaishi Dar es Salaam,natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani mwenye sifa zifuatazo;

  • Mwenye umri si chini ya miaka kumi na tano wala zaidi ya miaka 20
  • Anaejua kusoma na kuandika
  • Napendelea wa kutoka mkoani hasa mkoa wa Iringa
  • Awa smart na sharp
Nitashukuru pia kama mnaweza kuniiunganisha na kampuni za wanaotoa huduma hizi
 
Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!
 
Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!

kwa hayo usiyoyafanya kwa mumeo lazima anapata nje hata wakati wa luch, akiwa kazini.
 
wacha kuturusha roho wajameni!

conduct intellijensi uone, lakini isiwe kama ya makamba you will end up dead yourself. humwekei mume maji, let say you have a shower but kwa orodha hii "...mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja". Hata kama unaishi angani, kuna mambo ya huko yanayorelate na haya ambayo mume na mke wanapaswa kutendeana......You are a very irresponsible wife.
 
Utingo we una wife?we unafanya kazi nae pia?je uko hapa town home unatoka na kurudi saa ngapi?
 
Taja mshahara nami sina ajira naweza kazi. Ila umri wangu uko juu kidogo nahisi tutaelewana,ikibidi tukatane mshahara 2% kwa kila mwaka wa umri utakaozidi. Ukinishort list utaninkubali kwenye interview. Ila nakushauri uchukue dodoma,iringa au singida maana najua hawasumbui sana!
 
Hivi ni uvivu au kitu gani,kwa nini kila mtu anatafuta msaidizi nashindwa kuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom