Natafuta kazi

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
307
348
Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya.

Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa blending operator yaani uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi, vodica, value, zanzi, imagi, wine zote, vitoko, sungura, kvant na pombe zote za spirit na kuangalia ubora wa products.

Natafuta kazi yoyote na ikitokea inayoendana na career yangu nitashukuru, pia Serikali naweza kufanya kazi TBS, mkemia mkuu, shirika la chakula, msd na kote ambapo kuna laboratory.

Naombeni msaada wenu atakayepata kazi iwe kiwandani au popote aniambie Mimi nipo Dar es salaam.

Asanteni sana.
 
Hii ni kulala na njaa kupenda, tembea viwandani quality controller ni post nyeti huwezi kukosa kazi.

Tafuta pia connection za migodini, watu wa Laboratory wanalipwa vizuri.
 
habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada.Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia Nina uzoefu wa blending operator yani Nina uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi,vodica,value,zanzi,imagi,wine zote, vitoko, sungura,kvant na pombe zote za spirit na kuangalia ubora wa products. Natafuta kazi yoyote na ikitokea inayoendana na career yangu nitashukuru ,pia selikarini naweza kufanya kazi TBS,mkemia mkuu,shilika la chakula,msd na kote ambapo kuna laboratory. Naombeni msaada wenu atakayepata kazi iwe kiwandani au popote aniambie Mimi nipo Dar es salaam.asanteni sana
Jaribu kutuma maombi Taifa mining, hii iko chiñi ya Caspian ya Rostam Aziz ana migodi mikubwa kadhaa.

Nakuhakukishia lazima upate kazi kaza Msuli, tafuta address za migodi yote tuma application utazikumbuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom