Point of No Return 19
Senior Member
- Jul 2, 2023
- 194
- 454
Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26
Ninaishi Dar es salaam
Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI
Nina certificate ya (Medical attendant)
Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa.
Naenda mkoa wowote kazi itakapo patikana
AHSANTENI