Natafuta Frame ya duka

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na kama naweza kupata frame hapo basi okoa jahazi tafadhari
 
uko kitaa gani au unataka fremu popote hata Kiambankupe? Location preference itasaidia maana kwa DSM kila kona ni goli!
 
"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na kama naweza kupata frame hapo basi okoa jahazi tafadhari

Fremu unataka sehemu gani? Kuna dada anapangisha fremu yake kuanzai June itapatikana
Wasiliana naye o654 - 772 143 - Esther
 
Back
Top Bottom