Natafuta dalali anayeuza kazi

Usijali utapata tu .Muda ukifika hakuna atakayezuia riziki yako .Ila nakushauri usinunue kazi inaweza kuwa feki au itakusumbua tu.vijana wengi wanata kazi kwenye majiji makubwa nakushauri uombe mikoani na usichague kazi,makazini ndiko kuna chanel.so never give up.
 
Ni kweli usikate tamaa ni kuzidi kumuomba mungu ata mimi mwenyewe niko mtaani nimemaliza chuo 2010 mpaka hivi sasa sijafanikiwa kupata ajira!
 
Ina maana hata ukipata kazi unaweza kuuza kampuni......hakuna mwajiri serious atakayekuajiri kwa hiyo approach yako maana una corrupt mind. Ushauri andika sifa zako na omba kazi mambo ya kununua kazi ya nini hayo bwana mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom