Ninaujauzito wa miezi 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana.
Tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba?
Binafsi sina uwezo wa kumtunza.
Najua kuna watu humu wanatafuta watoto hawana kuliko kutoa mimba bora kwa atakae kuwa tayari kumtunza amchukue.
Wapo watakao nishangaa kwa hili lakini kuliko kutoa mimba bora nimpe baba yoyote mwenye shida na mtoto asanten jamani.