Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,148
- 34,212
kasema hiyo ni id tu
Dogo uko dipu! lol kama nakuona ulivyoganda sredi.
kasema hiyo ni id tu
Dogo uko dipu! lol kama nakuona ulivyoganda sredi.
una bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizi, hivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
naombeni tiba jamani uke wangu wabaridi sana kiasi cha kumfanya mme wangu kuchelewa kufika kileleni naomba msaada kuokoa ndoa yangu. pia ni mpana
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.
watu8 nimechekajeee wajameniii ndio maana mara nyingi natoaga ushauri wa kipumbafu maana waomba ushauri ni waigizajiiiTo be honest ninyi wadada huwa mwajitafutia wenyewe matatizo labda kwa kwa sababu wengi hutumia moyo badala ya akili kutafakari...
Huyu binti kwa kiasi kikubwa she definitely saw this coming lakini kwa sababu ambazo hata mimi siwezi kuzielewa naona hakujali...
In several occasions, amewahi kuweka sredi hapa na nyingi ni za mapenzi na mahusiano complaining about her other half the way he mistreats her...
Niiteni nina roho mbaya lakini mwanamke asiyejua thamani ya uanamke wake huwa nina mdharau sana regardless kakutwa na maswaibu gani...
Hakuna mwanamke asiyejua kwamba ukipanua miguu na kuuachia uvungu usokomezwe na dushelele several times kuna uwezekano wa kupata ujauzito, magonjwa ya zinaa n.k, lakini wanawake wa kisasa hawasikii la mpiga kengele kanisani wala mhadhini msikitini...
Ifikie mahali Watanzania waache kubebeshana mizigo, serikali itubebeshe mizigo ya kodi na watu wasiojielewa pia watubebeshe mizigo...khaaaa!!!
Kama mwanamke ameshindwa kujua thamani ya mbunye yake na kaigawa hovyo kama tundu la fuel tank kusokomezwa kila nozzle ya gas stations basi sasa huu ndio wakati wa majuto na yamekuja kama mjukuu...
Hebu pitia hizi sredi kadhaa:
1. Hapa watu walishauri weeeee....
13 Novemba 2012
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/353302-kwa-wadada-tu.html
2: Hapa siye tushindao JF Doc tulimshauri kama mke wa mtu...
18 Januari 2014
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/589043-tiba.html
3: Mume kageuka kuwa mchumba na ujauzito juu...
17 Juni 2014
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/676388-kapatwa-na-nini-huyu-mwenzangu.html
To be honest ninyi wadada huwa mwajitafutia wenyewe matatizo labda kwa kwa sababu wengi hutumia moyo badala ya akili kutafakari...

Rudia kusoma post ww...usikurupuke na hoja utadhani unafikiria kwa kutumia miguu.aiseeee mbona watu husema uchungu wa mwana aujuae mama una ulemavu gani wa kushindwa kumtunza mwanao mtarajiwa
Rudia kusoma post ww...usikurupuke na hoja utadhani unafikiria kwa kutumia miguu.
soma tena comment yangu utajua nililkuwa namaanisha nn