Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,902
- 155,992
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?