Nasumbuliwa na MIJIMAMA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,730
155,414
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?
 
Mkuu watakuuwa hao si mambo ya kujisifia hayo....tafuta mke uowe...shauri yako....wewe ona sifa tu!
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

TAFAKARI, KISHA CHUKUA HATUA kiukweli hapana sina cha kukushauri kwa kuwa ukiamua mwenyewe wasikufuate unaweza wala sio shida ni wewe mwenyewe kuchukua uamuzi.
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

Madhara ya kutumia tiGo huanza pole pole!
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

huyo ndo bujibuji wa ukweli!
 
kimbilia kwa Mijibaba
Du wageni wengine....mashaka matupu!

Saskia
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateThu Sep 2010Posts7Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0
 
Yule BEKI tatu aliyekwambia Mwanamme sarawili umemwacha? Au sio wewe? Bujibuji bana.. UNATISHA!!!!
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?
sasa nisikilize kwa makiiini sana.
Akikutokea jimama yeyote just chukua namba yake kisha send me thru PM nitakuepusha naye.

Mie ndo mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

Kamuulize jimama mmoja namna ya kuwachenga wengine, then utumie mbinu hiyo kumchenga naye pia....! Vinginevyo, shauri yako...!
 
Back
Top Bottom