Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

Hiyo ilikuwa interview kukupima uelewa na jazba zako. Wengine tutakupigia kura na tupo humu. Ngoja siku yaako ya kupigiwa kura ije uone .......
Yupo ndugu yake mwenye gamba gumu kuliko yote alidai hataki kura za wabeba nyundo!
Alinusuriwa na NEC ya Lewis Makame
 
Hii issue ya ujana naona inaingia kwa speed kali sana kwenye siasa. Kuna vijana fulani ambao kwa kutokuwa na uwezo wa kuwashawishi watu kuwa wana uwezo wa kuongoza basi wanatumia kigezo cha ujana kama sababu. Matokeo yake ndio tunakuwa na vijana ambao wanatukana matusi kwenye majukwaa bila hata haya.

Kigezo kisiwe kuwa mtu anapewa uongozi simply kwa sababu ni kijana. Kigezo kiwe uwezo wa mtu kuongoza bila kujali umri wake. Inawezekana kabisa Chadema wangeweza kumweka mzee Arumeru na wakashinda vile vile. Mbona CCM walimweka kijana Arumeru lakini akashndwa? Kwa nini alishidwa? Alidanganya umri?

Eti ushindi wa Nassari ni ushindi kwa Vijana. Kwani wazee wa Arumeru hawakupiga kura? Ni heri kuongozwa na wazee wenye hekima na busara kuliko vijana ambao hata hawajui uongozi nini badala yake wanaishia kutukana majukwaani.
 
Usiwe mnafiki mbona Wiliamu kasema CDM kuna baba na wakwe zao bungeni hapo hajaingilia familia, punguza unafiki.

Inaonekana unajua sana kuita watu majina....Have fun

Kama yeye kafanya hivyo inahahalallisha nini wewe kufanya kitu hicho hicho? Afterall,mimi siwezi ku-entertain ujinga kwa sababu ya itikadi za kisiasa.Hapa ni ustaarabu na utu siyo political ideology.Siangalii kama ni mwana-CCM au mwana-CHADEMA.

Stick to your principles and taking your turn to be part of the rot and decay are two different things
 
Hivi Lusinde ni kijana au mzee? Sorry just wanna know then will come with comment later..:car:
389ea4fb-b878-4364-ad90-4499e3e4ac7b.jpg

Malecela.jpg

Angalia kati ya sura hizo mbili (lusinde na malecela), amua nani kijana.
 
Hivi huyu William hamjamgundua tu? Huyu jamaa ni mnafiki sana tena namba moja kwa mda huu, mie naona anajipendekeza tu bila sababu za msingi! Huyu mtu watanzania wenzangu tumkatae kwa nguvu zote hana sifa za kuwa mbunge wa ea!
 
Mbona tunajua lengo lako ni nini?

kwahiyo kaka ulitaka atukane,aponde,akejeri ndio uridhike? mbona tunamawazo hasi sana wana JF? Yaani tunataka kila asiye mwana CDM aponde,ama akejeri kwa kila jambo,hizo ni siasa mufirisi hazitakiwi kabisa ktk nchi hii,kama alivyosema mtoa mada TAIFA KWANZA

tuwe wepesi wa kukubari pale tunapo ona kuna jema,tatizo letu ni kwamba baadhi ya wana JF wanadhani kuwa upinzani ni vita,kununa,kuwapekeyako usiongee na mtu na wala usikubariane na mpinzani wako kwa chochote kile

nyie mnaumia ndani ya JF wanaoielewa siasa wanafurahi kwa pamoja

wewe unae dhani kuwa upinzani ni ubandidu utakufa na presha,ona hapo chini watu ni furaha sana tu

  • Tubadirike vijana wenzangu,kwenye YES sema kenye NO sema,ila tupunguze chuki​
 
wewe kama umeamua kuwa upande wa chama cha majambazi (ccm) achana na sisi vijana wa pigikaji.hamna umoja wa vijana wa ki tz utakaoundwa na vijana wenye itikadi tofauti za kichama kama ccm na cdm alafu ukaleta mabadiliko ya kweli ktk taifa letu...kama wewe ni mzalendo wa kweli ulitakuwa kuwa mfano kwa watoto wengine wa viongozi wa hii nchi kama akina riziwani,lakini ukaamua kuendelea na magamba wenzako utafkiri hujui uzembe walioufanya kwa miaka 50 ktk taifa letu.si zana kama utakuwa na jipya.vijana wote ambao tumechoka na ufisadi,rushwa,umaskini na kila aina ya takatka ambayo chanzo chake ni uongozi mbaya uliopo ndani ya mfumo wa serikali ya ccm tutaungana na kutafuta njia yetu wenyewe itakayo tufikisha tunapopataka na MUNGU atakuwa upande wetu kwani cku zote yuko upande wa wenye haki na wanaonewa kama kina GODBLESS LEMA.unataka kuniambia huamini kwamba kuna mkono wa mtu katika hukumu ya lema...sasa unawezaje kuwa na uzalendo kwa kuendelea kuwa upande wa watu na namna hiyo alafu ukaniambia mimi kama kijana nikaamini niko na kijana mwenzangu na wote tunalitakia mema taifa letu chini ya uongozi wa namna hii.utakaa sana wewe hamna lolote utakalo fanya huko muombe mzee uhamie cdm mana najua huyo ndo kikwazo.
 
- Hapana, ni kawaida kwamba kwenye kila Vijana 10 watatu wataharibu, sasa haimaanishi kwamba Vijana wote hawafai Tanzania tuanze sasa kuikubali dhana ya vijana bila exceptions!

William.
nilikosea nikaanza kukuombea upate hata ubunge wa EAC, najuta na naanza kufunga siku 3 kavu ukose hiyo nafasi kumbe wewe ni kilaza kama ridhiwani, bora hata baba yako alipigwa chini na mwendawazimu lusinde 7bu na wewe ungelitusumbua sana
 
kwahiyo kaka ulitaka atukane,aponde,akejeri ndio uridhike? mbona tunamawazo hasi sana wana JF? Yaani tunataka kila asiye mwana CDM aponde,ama akejeri kwa kila jambo,hizo ni siasa mufirisi hazitakiwi kabisa ktk nchi hii,kama alivyosema mtoa mada TAIFA KWANZA

tuwe wepesi wa kukubari pale tunapo ona kuna jema,tatizo letu ni kwamba baadhi ya wana JF wanadhani kuwa upinzani ni vita,kununa,kuwapekeyako usiongee na mtu na wala usikubariane na mpinzani wako kwa chochote kile

nyie mnaumia ndani ya JF wanaoielewa siasa wanafurahi kwa pamoja

wewe unae dhani kuwa upinzani ni ubandidu utakufa na presha,ona hapo chini watu ni furaha sana tu

  • Tubadirike vijana wenzangu,kwenye YES sema kenye NO sema,ila tupunguze chuki​
Usidanganyike kirahisi hivyo unawaona mchana wanacheka usiku hao hao wanapanga watu wakumwagia wenzao tindikali, hao hao ndio wanapanga watu wa kuwakata wengine mapanga, hao hao wanasafiri usiku kwenda Arusha ili vijana wenzao wavuliwe ubunge. Ulimsikia Nape alivyotamka baada ya wabunge wa CDM kukatwa mapanga.
 
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Mhhh.....Ni uvivu wangu wa kufikiri au kithungu changu cha Kayumba Kayumba???

Hii imenikumbusha hotuba ya Mh Jackson Makwetta aliyoitoa 1995 baada ya Sumaye kuukwaa uwaziri mkuu; akimwelezea kama kijana mdogo sana aliyeanzia wizarani kwake kama deputy!!
 
Inaonekana unajua sana kuita watu majina....Have fun

Kama yeye kafanya hivyo inahahalallisha nini wewe kufanya kitu hicho hicho? Afterall,mimi siwezi ku-entertain ujinga kwa sababu ya itikadi za kisiasa.Hapa ni ustaarabu na utu siyo political ideology.Siangalii kama ni mwana-CCM au mwana-CHADEMA.

Stick to your principles and taking your turn to be part of the rot and decay are two different things

kaka
nahitaji kufanya kazi ya ukombozi na wewe,tutafutane mkuu
 
All in All, Mheshimiwa sana William utasema na kujibu yote mpaka mwisho ila tunakupa mpaka September 2015 kama uhai utakuwepo then tunalichukua jimbo letu.

kaa mkao wa kula tunakuandalia Nassari mwingine wa kuja kulichukua hilo jimbo.
 
Yupo ndugu yake mwenye gamba gumu kuliko yote alidai hataki kura za wabeba nyundo!
Alinusuriwa na NEC ya Lewis Makame

yani mimi huyu William nilisha msoma siku nyingi sana kwenye post zake, kwanza ana dhalau sana na jazba, pili hashauriki, hataki akosorewe, anajibu mtu huku anacheka na keyboard, je akikujibu uso kwa uso si atakutukana kabisa matusi ya lusinde? Ni aina gani ya viongozi hawa tunaowahitaji? Najua anabebwa tu kwa mgongo wa magamba na baba yake, ila mie kama mtanzania ninaeipenda nchi yangu, huyu nampinga kwa nguvu zote kama ninavyoipinga rushwa ndani ya nchi yangu.
 
wewe kama umeamua kuwa upande wa chama cha majambazi (ccm) achana na sisi vijana wa pigikaji.hamna umoja wa vijana wa ki tz utakaoundwa na vijana wenye itikadi tofauti za kichama kama ccm na cdm alafu ukaleta mabadiliko ya kweli ktk taifa letu...kama wewe ni mzalendo wa kweli ulitakuwa kuwa mfano kwa watoto wengine wa viongozi wa hii nchi kama akina riziwani,lakini ukaamua kuendelea na magamba wenzako utafkiri hujui uzembe walioufanya kwa miaka 50 ktk taifa letu.si zana kama utakuwa na jipya.vijana wote ambao tumechoka na ufisadi,rushwa,umaskini na kila aina ya takatka ambayo chanzo chake ni uongozi mbaya uliopo ndani ya mfumo wa serikali ya ccm tutaungana na kutafuta njia yetu wenyewe itakayo tufikisha tunapopataka na MUNGU atakuwa upande wetu kwani cku zote yuko upande wa wenye haki na wanaonewa kama kina GODBLESS LEMA.unataka kuniambia huamini kwamba kuna mkono wa mtu katika hukumu ya lema...sasa unawezaje kuwa na uzalendo kwa kuendelea kuwa upande wa watu na namna hiyo alafu ukaniambia mimi kama kijana nikaamini niko na kijana mwenzangu na wote tunalitakia mema taifa letu chini ya uongozi wa namna hii.utakaa sana wewe hamna lolote utakalo fanya huko muombe mzee uhamie cdm mana najua huyo ndo kikwazo.

mkuu heshima mbele!
Asante sana kwa hayo maneno mazito! Huyu jamaa anatafuta ulaji na sio kitu kingine. Kama Kweli anataka kuisaidia nchi yake hapo anapotaka kwenda hapamfai. Hivi anajua kweli watanzania hatudanganyiki? Mtu mzima anaenda kufungua tawi la ccm n.city ili iweje? Tena nakumbuka alikuwa anarusha vijembe sana kipindi hicho. Nina hasira sana na huyu jamaa, na akiupata hata huo ubunge walahi ccm nitaamini wabunge wake wote ni vilaza:
 
mi sikatai kuwa ni kijana ila baba zenu kina malecela na wengineo ndo wameua ndoto zetu mpaka leo mwaka wa 4 tumemaliza vyuo vikuu hatuna hata tempo ya kufundisha primary schools kutwa tunashinda JF na neti za kuchakachua

nyie mmekulia mliokulia nje baba zenu wanawachomeka chomeka tu kwenye nyadhifa ovyo ovyo.. p*mb*vu zenu we unafikiri uyo nassari hakuhujumiwa mwaka 2010?? kinachokufanya umshangilie leo ni nini na umagamba wenu...

uyo uyo dingi yako aliyeshindwa na lusinde baada ya kushindwa tu akafukia visima vyote alivyowachimbia wana mtera
sasa kama mtoto wa nyoka sio nyoka ni nini??

au unataka kutuambia una mfill sana nassari kuliko dingi yako??

tukukuuliza mapungufu ya dingi yako uko tayari kuyaataja??

na ngojen 2015 wwe, january makamba, hussei mwinyi, riziwan kikwete na wengine ndo kushnei...
u nailed it mkuu
 
Back
Top Bottom