Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

- Hata kusoma yote nimeshindwa Great Thinker, sometimes muwe mnafikiri japo for one minute kwamba sio kwamba Dunia nzima in walevi walevi kama wewe, I mean a Great Thinker? ha! ha! ha! ha!

Willie!
acha porojo jibu ulichoulizwa.
 
Usidanganyike kirahisi hivyo unawaona mchana wanacheka usiku hao hao wanapanga watu wakumwagia wenzao tindikali, hao hao ndio wanapanga watu wa kuwakata wengine mapanga, hao hao wanasafiri usiku kwenda Arusha ili vijana wenzao wavuliwe ubunge. Ulimsikia Nape alivyotamka baada ya wabunge wa CDM kukatwa mapanga.
Kaka umenigusa kwa hisia kali sana
 
Hii issue ya ujana naona inaingia kwa speed kali sana kwenye siasa. Kuna vijana fulani ambao kwa kutokuwa na uwezo wa kuwashawishi watu kuwa wana uwezo wa kuongoza basi wanatumia kigezo cha ujana kama sababu. Matokeo yake ndio tunakuwa na vijana ambao wanatukana matusi kwenye majukwaa bila hata haya.

Kigezo kisiwe kuwa mtu anapewa uongozi simply kwa sababu ni kijana. Kigezo kiwe uwezo wa mtu kuongoza bila kujali umri wake. Inawezekana kabisa Chadema wangeweza kumweka mzee Arumeru na wakashinda vile vile. Mbona CCM walimweka kijana Arumeru lakini akashndwa? Kwa nini alishidwa? Alidanganya umri?

Eti ushindi wa Nassari ni ushindi kwa Vijana. Kwani wazee wa Arumeru hawakupiga kura? Ni heri kuongozwa na wazee wenye hekima na busara kuliko vijana ambao hata hawajui uongozi nini badala yake wanaishia kutukana majukwaani.
EMT mkuu, ukiona mtu yeyote anatumia kigezo chochote esp.discrimination kupata cheo au kura zaidi ya uwezo wake jua huyo hana nia ya kuwatumikia watu. Kuutumia ujana kama kigezo cha kuchaguliwa ni kielelezo kuwa hana ajenda yeyote zaidi ya kujenga makundi yambebe.

Toka William autake ubunge wa EAC kaanzisha thread nyingi sana lakini ukichunguza hakuna thread hata moja aliyotuambia kwanini anataka kutuwakilisha. Kuna thread alianzisha ilikuwa na heading 'Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC -My Case!' nilidhani katoa sababu, lakini nilipofungua hakuna chochote anachoahidi kukisimamia. Ila kwa utawala wetu ulivyo utakuta ndiye atakayepita, God forbid.
 
- kabla ya uchaguzi nilikutana na Sioi na nikasema kwamba ni great guy na very kool, labda unaiongelea wengine mimi sijwahi hata siku moja kumung'unya maneno huwa ninasema ukweli bila kuogopa anybody! Angeshinda Sioi ningsema exctly the same kow me!

William.
Hapa sasa unadhibitisha unafiki wako, yaani Sioi ni great guy? Great guy gani anakubaliki kampeni zake zikumbatie vichaa wa kuzaliwa, wazizi na aliyekubali kutopewa mda wa kuuza sera. Any way em mchambue kidogo Kichaa wa Kuzaliwa Lusinde tuone kama wewe huwa humung'unyi maneno.
 
- kabla ya uchaguzi nilikutana na Sioi na nikasema kwamba ni great guy na very kool, labda unaiongelea wengine mimi sijwahi hata siku moja kumung'unya maneno huwa ninasema ukweli bila kuogopa anybody! Angeshinda Sioi ningsema exctly the same kow me!

William.

Hamna lolote nyie magamba kwan uaminifu kwenu umeenda likizo,la muhimu kwenu tamaa mbele maendeleo nyuma.Posho utaongezwa leo kwa ubish kinjaanjaa usijal dogo Nape atakulinda tu,gamba haaminik ili tukuamin kidogo utoke ulipo la sivyo huna hoja.Kwan n mapambio kwenda toka kwako.
 
Huu ujinga huu, we ni Magamba tu tena kwenda Kule, hatupewi rushwa ya maneno.

Nassari twamjua, Chadema twaifahamu? Wewe ni nani? Wakati Wa kampeni za Mama yako Kule upare alikuwa na paka mweusi? Mwambie aluazime!

- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
 
Wiliam, nimekukubali kijana, una mawazo ya sasa hivi, yaani yanayoendana na sasa.
 
Hii issue ya ujana naona inaingia kwa speed kali sana kwenye siasa. Kuna vijana fulani ambao kwa kutokuwa na uwezo wa kuwashawishi watu kuwa wana uwezo wa kuongoza basi wanatumia kigezo cha ujana kama sababu. Matokeo yake ndio tunakuwa na vijana ambao wanatukana matusi kwenye majukwaa bila hata haya.

Kigezo kisiwe kuwa mtu anapewa uongozi simply kwa sababu ni kijana. Kigezo kiwe uwezo wa mtu kuongoza bila kujali umri wake. Inawezekana kabisa Chadema wangeweza kumweka mzee Arumeru na wakashinda vile vile. Mbona CCM walimweka kijana Arumeru lakini akashndwa? Kwa nini alishidwa? Alidanganya umri?

Eti ushindi wa Nassari ni ushindi kwa Vijana. Kwani wazee wa Arumeru hawakupiga kura? Ni heri kuongozwa na wazee wenye hekima na busara kuliko vijana ambao hata hawajui uongozi nini badala yake wanaishia kutukana majukwaani.
a good point.....moreover.....Nassari hakuchaguliwa kwa kuwa yeye ni kijana bali alionyesha kuwa anaweza kuwatumikia watu wa Arumeru..ujana wake was not an issue kwa yeye kuchaguliwa(may be it was just an added advantage)...Ukishaona inafika mahali watu wanasaka madaraka kwa kutotumia capacity yao (merit) na kuishia kutumia vigezo ambavyo ni discriminatory....mfano..gender,age,marital status..etc etc.....basi ujue hapa kuna tatizo kubwa sana....hili ni tatizo ambalo tayari liko TZ...na linaonekana kukolea sana kwenye chaguzi/teuzi hapa TZ.....hata Makinda alipewa uspika kwa vile ni mwanamke...matokeo yake woote tunayajua..........
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa ushauri tu kwa wanajamvi, tunafahamu ni kiasi gani wanasiasa wasio na huruma, uzalendo na nji hii hata kufikia hapa tulipo!

Lakini, endapo sisi tunaojiita great thinkers tutakuwa hatuoneshi u great thinkers wetu kwa kutumia lugha mbofu mbofu tutapoteza mwelekeo unaostahili.

Tukubali hata kama tuna chuki za kiasi gani kwa magamba au cdm kupokea stahili zinazotuangukia, kama bw william alivyoweza kumpamba kamanda Nassari!

Tumpe asante, pengine kutupiana lawama za kuuwa wanafamilia kusingekuwepo; ila kwa sababu penye wengi kuna mengi, basi tuvumiliane

Hongera waliotoa maoni endelevu, na pia hongera wale waliotaka kujitokeza ilimradi wamesomeka

Uvumilivu, kwanza then UTAIFA(TZ)
 
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

You are so lucky that I have been so busy. by the way I know what you mean!
Kura za CCM bado hujazipata umeshaanza kuwagawa shauri yako WM
 
- Wanasiasa wetu ndipo walipotufikisha hapa, kuwa na wasi wasi na kila neno! ha! ha! ha! ha! wakisema kumi tunaamini ni tatu, sawa sawa mkuu!

William.

kaka acha kutudanganya kitu KUPITIA MGONGO WA VIJANA. kikubwa ni uwezo wa kudeliver no matter the age.
CCM wengi WANAFIKI
 
  • Thanks
Reactions: EMT
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
Kwani mpinzani wa Nassari (Dogo Janja) alikuwa babu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Vijana waliopata nafasi ni mabalozi wa vijana kuonesha kwamba we can. Nassari na wenzako msisaliti trust mliyopewa, fanyeni kazi kwa nguvu na nidhamu. Usharobaro na mambo mengine yafananayo na hayo acha, fanyeni kazi

Back
Top Bottom