Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

Enzi zetu tulilemazwa kwa kurubuniwa kuwa, eti vijana ni Taifa la KESHO

afu ukija kushituka mvi mpaka kwenye ndevu,kuanzia hapo wanaanza kukuita kijana wa jana na hauna jipya. Hii misemo ya kupiga vita sana.
 
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Mkuu kwanza naomba unijuze umri wa ujana ukomo wake ni ngapi?pili naungana nawe kabisa kua sasa ni wakati wa vijana nao kuonyesha kua nao ni sehemu au chachu kubwa katika kuleta maendeleo ya nchi yetu regardless ni wa chama gani,mifano halisi tunaipata toka kwa idadi ndogo ya wabunge vijana waliopo bungeni,na kweli utendaji wao ndani na nje ya ubunge upo wazi,japo kuna wachache kati ya hao wabunge vijana wachache,wameshindwa kabisa kuonyesha jinsi damu zao zinavyochekemka na kua chachu ya kuliletea taifa letu maendeleo!Pia ningependa kuwaasa Watanzania wenzangu kua kuendelea kulalamika na kulaumu hakutatufikisha popote sisi kama taifa na hata kwa mtu mmoja mmoja,ni ukweli ulio wazi kua under C.c.m kuna madudu mengi yamefanyika ndani ya nchi hii kiasi imefika hatua wananchi wamejikatia tamaha na kubaki kuchukia na kulalamika tu,Willie ilo ukubali ukatae lakini ukweli unaujua!ila hii haitatusaidia sisi kama Taifa,lazima kila mmoja wetu awajibike kwa nafasi yake,na kama tumejua hiki chama cha mapinduzi hakuna cha ziada kitakachotufanyia,basi tukubaliane wote kupitia kwa sanduku la kura kua sasa imetosha na wakae pembeni,ingawa naamini wapo watendaji wachache sana ndani ya c.c.m wenye uzalendo na uwezo wa kututumikia wananchi,hao hawapaswi kubezwa wapewe nafasi za kuendelea kutuwakilisha wananchi,lakini kwa uongozi wa jumla wa kuongoza nchi,c.c.m imetosha,nchi is going backward badala ya kwenda foward!lingine ambalo mimi naona halistahili sana ni ili la kuwahukumu watu kwa kua baba zao walikua watu fulani,sioni kama lina tija sana,kikubwa tuangalie hao vijana tunaowahukumu je ni wasafi na wazalendo wa dhati kulitumikia taifa,hawana kashfa za kushirikiana na baba zao kuliibia taifa letu?je wana vigezo vya kupewa nafasi wanazo omba kulinganisha na Watanzania wengine?kama wanavyo,ni wasafi,hawana scandal yoyote ya kuhiujumu nchi pindi baba zao walipokua madarakani,na ni wazalendo wa kweli,basi sioni kama itakua haki kuwahukumu kwa dhambi za baba zao!ni mtazamo wangu tu lakini!
 
- Mkuu wangu sana Ben, usijali sana mkuu unajua kutumikia taifa ni wito toka kwa Mungu,
Magamba wanavyoi-abuse hillo jina......mh!
Huwezi kunishawishi kuwa unaamini kuwa viongozi wa serikali ya CCM, na hapa namaanisha viongozi kwelikweli sio katibu kata, wana wito kutoka kwa huyo mnayemtaja.
 
easily distracted.
Cannot stand on his cause.
Opportunistic.
Befriends for his gain...
najaribu kumchambua @NYC

- Unajua sometimes ni rahisi kuamini mada imeharibika kumbe uliyeharibika ni wewe tu, wengine tunaendelea na mada kama kawa!, Sigma unanijua kweli au unanisikia, eti ninawezaa kuwa distracted na ishu yangu? never! ninachokisimamia huwa ni mpaka mwisho! waulize wanaonijua vizuri1

William.
 
Magamba wanavyoi-abuse hillo jina......mh!
Huwezi kunishawishi kuwa unaamini kuwa viongozi wa serikali ya CCM, na hapa namaanisha viongozi kwelikweli sio katibu kata, wana wito kutoka kwa huyo mnayemtaja.

- Kwenye kuutambua wito wa kiongozi inategemea na mtabuaji kama ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua! na kutenganisha wazuri na wabaya!

William.
 
William, binafsi nakupongeza sana kwa kuwa mtu kiongozi mvumilivu na muelewa sana. Ama kwa hakina nimeona thread zako nyingi zinakutana na vigongo vya kila upande kutoka kwa wana CDM walivyo wengi humu JF. Natamani kama wabunge wengine wa CCM wangekuwa na ujasiri kama wako wa kuja humu with their true ID na kukutana na wanajamii.

Nimesoma jinsi unavyojibizana na wadau humu nikajisemea kama ingekuwa Nape ndo anashukiwa hivi si angesha vunja screen ya Ipad yake kwa hasira!!!

Back to story. najaribu kufikiria ingekuwa SIOI ndo kachukua jimbo pale ARU MASH hivi kweli ungethubutu kuja humu na story kama hii! come on give a break sir. yaani hiyo story yako hapo juu umeremba mno. Ila kama ina mrengo wa kampeni za PM-EA here is the wrong place, banana na wabunge huko huko Dodoma

Thank you.
 
Tukiwa na tofauti ya kimawazo na watu tusitukane familia na watu ambao hawahusiki katika mijadala.Tujifunze utu na heshima kwa familia za watu
Usiwe mnafiki mbona Wiliamu kasema CDM kuna baba na wakwe zao bungeni hapo hajaingilia familia, punguza unafiki.
 
- Unajua sometimes ni rahisi kuamini mada imeharibika kumbe uliyeharibika ni wewe tu, wengine tunaendelea na mada kama kawa!, Sigma unanijua kweli au unanisikia, eti ninawezaa kuwa distracted na ishu yangu? never! ninachokisimamia huwa ni mpaka mwisho! waulize wanaonijua vizuri1

William.
@NYC sihitaji kukujua kweli.
Kwa sasa unagombe ubunge EAC.
Na tunajua unatembea kwenye reli,
na reli ina destination.
Utakapofika kwenye destined station, na lazima ufike, nepotism will work it out for you,
watanzania ambao hata sasa bado hawajui kuna mtu anaitwa William, wachilia mbali sisi tunaokujua kama @NYC, watajua hayo unayoyatetea sasa " kusimamia hadi mwisho unachokiamini"
Watchful waiting.
 
William, binafsi nakupongeza sana kwa kuwa mtu kiongozi mvumilivu na muelewa sana. Ama kwa hakina nimeona thread zako nyingi zinakutana na vigongo vya kila upande kutoka kwa wana CDM walivyo wengi humu JF. Natamani kama wabunge wengine wa CCM wangekuwa na ujasiri kama wako wa kuja humu with their true ID na kukutana na wanajamii.

Nimesoma jinsi unavyojibizana na wadau humu nikajisemea kama ingekuwa Nape ndo anashukiwa hivi si angesha vunja screen ya Ipad yake kwa hasira!!!

Back to story. najaribu kufikiria ingekuwa SIOI ndo kachukua jimbo pale ARU MASH hivi kweli ungethubutu kuja humu na story kama hii! come on give a break sir. yaani hiyo story yako hapo juu umeremba mno. Ila kama ina mrengo wa kampeni za PM-EA here is the wrong place, banana na wabunge huko huko Dodoma

Thank you.

- kabla ya uchaguzi nilikutana na Sioi na nikasema kwamba ni great guy na very kool, labda unaiongelea wengine mimi sijwahi hata siku moja kumung'unya maneno huwa ninasema ukweli bila kuogopa anybody! Angeshinda Sioi ningsema exctly the same kow me!

William.
 
Kwa comment zako za Leo nakutakia kila la heri mkuu. Lakini na wewe muda ukifika uachie ngazi usiwe Kama dingi yako
 
@NYC sihitaji kukujua kweli.
Kwa sasa unagombe ubunge EAC.
Na tunajua unatembea kwenye reli,
na reli ina destination.
Utakapofika kwenye destined station, na lazima ufike, nepotism will work it out for you,
watanzania ambao hata sasa bado hawajui kuna mtu anaitwa William, wachilia mbali sisi tunaokujua kama @NYC, watajua hayo unayoyatetea sasa " kusimamia hadi mwisho unachokiamini"
Watchful waiting.

- Classic!

Willie!
 
Imani za aina hii ni hatari sana katika jamii. Kama unajua kwa kufanya hivi vyeo vinatiririka kwenye familia, si uchague na wewe mmoja kwenu mmtoe kafara ili mpate hivyo vyeo? Au kwenu hamjawahi fiwa na mtu katika familia? Jiulize na wewe ukiambiwa yule dadako, au mjomba wako au kakako aliyefariki alitolewa kafara ili wewe usome itakuwaje?
Huwa sipendi sana wanafiki wanaoona upande mmoja, mbona Wiliamu kasema hayohayo, hata kama mko kwa kumlamba lakini semeni na kukemea pande zote.

- Mkuu na wewe una makengeza? Mbona hukusema huko upande wa pili mbona nako kuna wazee na watoto wao, wazee nma wakwe zao, wazee na wake zao, hii sio hoja tena Tanzania siku hizi cause ipo kote kote na inakuibalika!, kama ni ishu basi tusafishe pande zote!

William.
 
unajaribu kusafiria nyota ya Nassari? Mbona yeye hajaandika kuwa kapiga picha na wewe??
Chui ndani ya ngozi ya kondoo
 
Hiyo ilikuwa interview kukupima uelewa na jazba zako. Wengine tutakupigia kura na tupo humu. Ngoja siku yaako ya kupigiwa kura ije uone .......
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom