Wakipewa wapokee maana watanzania tunalilia lilia sana lakini hatupo tayari kuchangia ikitakiwa."Wengi hapa tunaifurahia JF lakini ni wangapi wamekuwa wakijitolea kusaidia kwa namna yoyote ile ukiondoa watu wale wale kam 10 hivi kati ya 5000? Je wale wanaoisimamia wakiwa na shughuli zao na mambo yao binafsi yanakwama kwa sababu ya JF wakiomba msaada kwa fisadi waupokee? waukatae?"
NIMEGUSWA.
ASANTE KWA KUNIKUMBUSHA WAJIBU WANGU KABLA YA KUSEMA AU KUANDIKA.
INVISIBLE NAOMBA MUONGOZO WA KUCHANGIA DUNDULIZO LANGU.
OMUTWALE SSEBO
NIMEGUSWA.
ASANTE KWA KUNIKUMBUSHA WAJIBU WANGU KABLA YA KUSEMA AU KUANDIKA.
INVISIBLE NAOMBA MUONGOZO WA KUCHANGIA DUNDULIZO LANGU.
OMUTWALE SSEBO
Mimi ni msomaji mzuri wa Tanzania daima ya jumapili mbona sijawahi kuona makala ya mwanakijiji? au alikuwa anatumia id nyingine?Mwanakijiji unaliacha Tanzania Daima?