Wakubwa nina hilo gamba nalifananisha na EL! Nina miaka kama 6 na huyu demu but katika miaka hiyo kashindwa kabisa kubadilika both kitabia and kimuonekano! Demu ananipenda sana tatizo ni tabia yake and muonekano wake! Ila uzuri wake ana mavumba sana so mtu mzima shida ndogo ndogo hazinisumbui! Ni mwaka wa 2 sasa nipo kwenye strategy ya kulivua hili gamba but nachemsha! Now i can see kwa nini ccm wanashake kuwachomoa mapacha3, ushawishi wa mapene ni noma wakubwa!! Nifanyeje???