Nashindwa kufungua PDF files kwenye computer

kimeza

Member
Jan 3, 2013
47
5
Habari zenu wanajamvi,
Naomba msaaada wenu, ninashindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa PDF, kila ninapo download halifunguki unakuja ujumbe unaosema file has been demaged na file lina ukubwa wa 2.8 mb lakini likiingia lina kua na kb chache sana. Please naomba msaada maana nashindwa kusoma majina tulioitwa kwenye usaili NAO.

Asanteni, wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa.
 
habari zenu wanajamvi nomba msaaada wenu nina shindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa pdf, kila ninapo download halifunguki unakuja ujumbe unaosema file has been demaged na file lina ukubwa wa 2.8 mb lakini likiingia lina kua na kb chache sana. plz naomba msaada maana nashindwa kusoma majina tulio itwa kwenye usaili NAO. Asanteni wenu mtiifu ktk ujenzi wa taifa.

Unatumia pc au simu? jieleze vizuri mdogo wetu
 
ni hivi desktop yako ina virus ndo maana ikiingia tu files zinaliwa faster fanya utumie pc nyingine kudownload sawa kimeza
 
Last edited by a moderator:
temporary solution

nenda kwenye website yenye hilo file la pdf halafu badala ya kudownload hilo file right click then copy link

then nenda website hii
Online viewer for PDF, PostScript and Word

paste link yako kwenye box la url kisha click view then utaweza kuview file lako la pdf online.

kwenye hilo box la kupaste url futa hilo neno http sababu url ya pdf uliocopy tayari ina http ili kusiwe na http mbili
 
Back
Top Bottom