Narudia tena kukwambia Maalim Seif

Lipumba must go, kwa sababu hana jipya ndani ya CUF zaidi ya kuwa kibaraka wa ccm ambaye hataki kuona upinzani unakua,
Anadai UKAWA agenda ilikuwa kwenye katiba tuu, wakati walikubaliana waongeze nguvu ili ikibidi waiondoe ccm madarakani, anakiri kwamba walikaa yeye, dr slaa na nccr wakampitisha slaa agombee urais, akae pembeni anapoteza muda
Na hapo napo walisalitiana pia.kumbuka hawakufuata makubaliano yao.
 
mtu mnafki aliyekaribishwa Cuf na maalim seif Leo anatuma wahuni kwenda kupiga watu! Alijiuzulu mwenyewe Leo chama kina wabunge wengi anajirudisha kibabe...alinunuliwa na kwenda kupumzika Rwanda na kwingineko wakati wengine wanatafuta kura...alibeba pesa za kampeni na kutitia Nazo akakitelekeza chama!! Leo maalim akae nae kuongea nini?? Tuache upuuzi kuna wakati wa kukaa na kuongea na kunawakati wakupigana...Lipumba hastahili kukaa kikao na maalim...anapaswa kukimbizwa kama "kibanga ampiga mkoloni"!! Huyu nisawa na wale waafrika walioshirikiana na wazungu ili waafrika wawatumikie wazungu enzi za ukoloni!
Shida ya cuf ni mazowea,walizowea kuwatumia hao kina maparara na kuwa dump!leo wamegusa kitu ingine kabisa. Inaonekana hao watu kutoka bara tu ndiyo wakuisaliti cuf huku maalim yeye akiwa ni jiwe kuu la katikati.
 
Sema Mapumba anaushawishi kwako na maccm wenziyo, siyo kwa watz wenye akili timamu.
 
Wewe lazima ni mtu wa Bashite. Lipumba au lipumba hana aibu ilihali hata mtoto mdogo anajua ni chambio lenu.

Aslani usimhusisha Maalim Sefu na hilo Lipumba.

Mshaurini propesa na msajili wenu kuwa CUF na Maalim Sefu ni pete na chanda.
 
Lipumba ana wafuasi? Kushindwa hata kupata ubunge jimboni kwake! You cant be serious!

Maalim Seif kashindwa ku elaborate kidogo kwa wale waliokuwa hawajui kiswahili uzuri. Msaliti akiwa na maana ya kwamba si mtu unayeweza kumuamini katika mipango yenu. Maalim hawezi kukaa na CCM wakapanga mipango ya kuingoa CCM kwenye uchaguzi. Unataka akae na Lipumba wapange mikakati halafu Lipumba litoke likawaambie CCM nini kimepangwa. Maalim is right on this. Kumbuka Lipumba kupita misikitini na kusema achaguliwe Kikwete wakati yeye ni mgombea. Mwenye macho...
 
Kiongozi mzuri hapo ni Lipumba hio iko wazi lakini wanacuf wengine wanakubali kumtumikia Maalim
Uzuri wake ni nini? Hana hata ushawishi! Kashindwa kupatia chama hata udiwani jimbo alilozaliwa. Tupe proof ya uzuri wake. Ukiwa kwenu ulikozaliwa wanashindwa kuona uzuri wako, unakuja kumuona wewe ndio mzuri!
 
Maalim Sharief, kama una msimamo wa kutokaa meza moja na Lipumba na kuona ni afadhari ukakaa na CCm basi naona wewe ndo unasababisha mgogoro huu kutoisha. Acha kinyongo na ubinafsi, chama ni cha wanachama wote nanyi wawili ni viongozi tu. Pamoja na chuki zako kwa Lipumba inabidi ukae naye ili kukinusuru chama. Ulionyesha kinyongo na chuki kwa Dr Shein ulipogoma kupokea salamu yake msibani, lakini bado inaonekana unaendeleza kinyongo na chuki binafsi hali ya kuwa unaathiri maendeleo ya chama kwa ujumla.
Acha chuki, kaa na Lipumba mmalize mgogoro. Pamoja na kuwa wengi wanaona Lipumba anatumika, lakini huenda nyie wote mnatumika (bila ya wewe kufahamu); na kila mmoja kati yenu ananufaisha chama ambacho siyo CUF. Chuki hazijengi, fanya majadiliano. Hata wewe Maalim pia umeathiri wengine huko nyuma (kabla ya vyama vingi na baada ya vyama vingi); nawe kwa hao unachukuliwa kuwa ni msaliti tu sawa na unavyomchukulia Lipumba.
Kwa ujumla nyie wote wawili (Maalimu na Lipumba) mnastahili kuachia ngazi ili wengine waongoze hicho chama; wote mmeishiwa tu.
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Unakaaje mezani na mtu aliyekukimbia wakati chombo kipo baharini kikipata dhoruba na mawimbi makali...baada ya kufika nchi kavu ndo anarudi kwenye chombo.
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Uponjonchiman,
Hivi wewe hufahamu kuwa 'KAFU NSEFU NA SEFU NKAFU?'
 
hawakumwaga damu hawa hasa huyo seif, Lipumba ndiye aliyekua akipigwa kila kukicha na kina Sumaye na Mkapa. angalia katika video hii kama utamuona Seif hapo:
 
Lipumba msaliti Malim Seif upo sahihi
Maalim seif msaliti na si lipumba. Msaliti kwa sababu alimkubali Edo wakati wametumia nguvu nyingi kutuambia Edo ni mwizi na yeye akiwemo. Msaliti ni nani kati yao? Anaesimamia ukweli kuwa simuungi mkono huyu maana tulimsema hadharani ni mwizi au anaepokea mwizi na kulazimika kumsafisha?
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.

Lipumba ametumwa kuanzisha huu mgogoro, sasa unataka Seif azungumze nae nini? Kuzungumza na Lipumba ni kuhalalisha hivi vituko anavyoendelea kuvifanya, na hiyo haikubaliki. Lipumba amekikosea sana chama kwa kukubali kutumika ili kukiangamiza. Mbaya zaidi, Lipumba amemkosea Mungu wake kwa kukubali kukisumbua chama ili kipoteze muda wake na yeye badala ya kupigania haki(ushindi) kilichoporwa kule Zanzibara kwenye uchaguzi wa October, 2015. Dhambi hizi hazitomuacha Lipumba salama kwani Mungu wa kweli ni mwema sana. Mh. Seif endelea na msimamo huohuo kwani upo sahihi. Kama ulivyokataa kishiriki uchaguzi wa maigizo wa March, 2016 kule Zanzibar ndio hivyohivyo unavyotakiwa kukataa kufanya mazungumzo na mtu ambaye ni dhahiri kabisa kwamba anatumika na maadui wa chama, ambao sina haja ya kuwataja.
 
Lipumba anaweweseka.
Ndio matatizo ya vyama vya kihuni,eti yeye hakubali kuzungumza na Lipumba.
Yaani sefu anaifanya kafu kama kampuni yake binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom