Napiga saluti ...

Ingia,....Aaaaah ndugu yangu wewe mwenyewe utajua kama kuna ulazima wa kuvua viatu au hapana. Si umewaona hawa jamaa hapa, wengine hawana viatu wengine wamevaa....uamzi ni wako ILA lazima utupe sababu za kutokuvaa au kuvaa viatu...karibu ukaribie
 
Back
Top Bottom