Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,905
Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana.
Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana.
Katika succumb zangu za kupiga ngondi, kuna mwamba mmoja namkubali sana na ninampigia saluti.
Huyo sio mwingine, ila kababu ka kizungu. Kababu haka kana mvi, siku zote anavaa suruali ýa jeans rangi ya blue, na Polo shirt nyeupe, anachomekea.
Hizi code za nguo zake hazibadiliki, kila mara tunaonana na kupeana hi. Huwa namzingua, Hello Johnny Walker, naye ananiita hivyo pia.
Alfajiri ya leo tumekutana pande za Mlimani City. Kila asubuhi lazima nikate kilometers 15