sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu.
Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo hata kwenye ps, xbox na pc lakini mimi sio mdau.
Naombeni mnijuze kama kuna njia za kuchagua timu nicheze friendly ama ligi kwa kuchagua timu nayotaka,
Yani napenda nikiingia kwenye game nachagua natengeneza hata ligi timu 8, mbungi inaanza kupigwa ama nikita mechi ya fasya nachangua madrid acheze dhidi ya psg, mambo yasiwe mengi,