Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
Shukrani kwa mchango wako kamanda
Mmmmh kwa ndugu mtoa maada una yako maana hauko na usawa labda nikuulize kitu mwl na kilanja yupi??wakumsikia mwezake!!!!swali rahisi sana hilo jibu ni la haraka sana kama ulivyotaka sisi tukujibu hapo juu mimi sikujibu bali nataka wewe mwenyewe uujibu umma huu kua jibu ni rahisi na unalo waaaazi kabisa laakin kiukweli nimependa sana mada yako nadhani pasi na kuusisha ushabiki ulitaka kuwapa kitu wanajamii hii ASANTE NDUGU
 
Mnyika ni mashine ya ukweli.
Nape ni mtu mwenye PhD ya MATUSI TU NA NDO HICHO KINACHOMFANYA ATUMIWE NA MAFISADI WAKUBWA AKIWA NI FISADI MDOGO.
 
Back
Top Bottom