Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
NAPE = KICHUGUU CHA MCHWA
MNYIKA = MLIMA KILIMANJARO

Or in other words,

NAPE = BAJAJI
MNYIKA = TOYOTA LANDCRUISER V8
 
kama kichwa cha habari kilivyojieleza hebu tuchangie wanajamvi.

ninahisi sijui maana ya neno BORA au maana ya neno MWANASIASA in any case kulinganisha KINYESI(nape) na CHAKULA ( Mnyika) ni ukosefu wa MAADILI.
nina hakika nape anajua kuwa kumlinganisha na Mnyika ni hype ya hypes - wakati mwenzake anapata points 7 form IV na akapata points 3 form 6 yeye aliambulia 0 kotekote. Najua mtaniuliza siasa zinaingilianaje uko - JIBU ni kuwa ni : UKIWA BONGOLALA ni BONGOLALA TU in any discipline - wether it's politics,science,sociology,economics ecc I used to consider nape the opposite of KIng Midas - whatever King Midas touched turned in GOLD while whatever nape touches turns in DUNG!!!
HAPPY NEW YEAR 2013 to all of you guys!!!!!
 
Umeua baba!
 
Wengi mnadhani anaaibishwa Nape ila mimi naona tunamwaibisha Mnyika kwa kumlinganisha na Nape. Nape labda mumlinganishe sijui na diwani mmojwapo wa CUF
 
daaah kuna gap kubwa sana kati ya mnyika na nape, Nape anajdili watu na Mnyika anajdili hoja
 
Kwa mtazamo wangu bila upendeleo wala nini John Mnyika ni mwanasiasa Makini na Nape Nnauye ni mwanasiasa Mwenye uwezo mkubwa wa ki-propaganda.Napata shida kidogo kusema kwamba nani ni bora zaidi ya mwenzake,maana ubora kwa maana ya siasa kwa ujumla ni ngumu kusema ukizingatia kuwa siasa zetu bado zingalitegemezi.
 
Wekeni poll ya ccm na cdm kipi chama makini na bora Tanzania? Kwani mpaka sasa sijaona wanasiasa wa ccm wanawapiku wa cdm kwenye poll za hapa JF. CCM wajue kuna shida ndani ya hiki chama na shida iko wazi ni kusimamia misingi ya chama tu na si kingine. Ondoeni mafisadi na nyoka wote wenye ndimi nyingi wanajulikana kwani wanakwamisha masuala ya msingi ya chama na maendeleo kwa wananchi. Hivi mnaubia gani nao hawa watu mpaka mnawaonea aibu jamani?
 
Usishangae hapa nape anapata kura ya akina tuntemeke yani kura ni siri ya mtu hapa kwenye poll nape anashoot mpaka 3% kweli maslia watakuwa hawajampa yao?
 
ninahisi sijui maana ya neno BORA au maana ya neno MWANASIASA in any case kulinganisha KINYESI(nape) na CHAKULA ( Mnyika) ni ukosefu wa MAADILI.
nina hakika nape anajua kuwa kumlinganisha na Mnyika ni hype ya hypes - wakati mwenzake anapata points 7 form IV na akapata points 3 form 6 yeye aliambulia 0 kotekote. Najua mtaniuliza siasa zinaingilianaje uko - JIBU ni kuwa ni : UKIWA BONGOLALA ni BONGOLALA TU in any discipline - wether it's politics,science,sociology,economics ecc I used to consider nape the opposite of KIng Midas - whatever King Midas touched turned in GOLD while whatever nape touches turns in DUNG!!!
HAPPY NEW YEAR 2013 to all of you guys!!!!!

maskini mape wa watu bongo lala jamani
 
Mwenye hii post. Umetumwa na nani? Mbona umeanza kumdhalilisha Nape sasa!? Unamweka kwenye mzani mkubwa sana atapwaya vibaya mno jamani usifanye hivyo!
 
Mchango wangu ni kucheka tu Haaaaaaaaaaaaaaaa na kujam,ba mbuuuuuuuuuu tujaribu kuwa akini humu ndani jj ni tufani mabaharia mmenielewa
 
Back
Top Bottom