Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
Upande mmoja kuna hoja nzito kwa maslahi ya kitaifa -- Upande mwingine ni Porojo mtupu.
 
Mnyika bado mtoto mchanga. Kila akiongea pumba kila akichangia bungeni utatamani uingie uvunguni. Mlisikia kituko chake jana? Huyu ni kiongozi aliyekula kiapo anaongoza kwa kushabikia utoto wa kisiasa. Yule mlemav wa arusha goodbye lema alimtafuta chokoraa arusha na kumvalisha nguo za alishababu na kujidai eti ni mpiganaji wa jwtz lakini hata kikosi chake akifahamu. Halafu mnyika akadakia na kuunga mkono huo utoto na kuhusisha na mambo ya meremeta???? Yeye huyu aliwahi kumkashifu m
 
Mnyika ni moja ya viongozi vijana wanaopenda kuongea facts hvyo yeye ni jembe sana coz anatumia taaluma yake ya sheria vzr kwenye siasa lkn nape ni propaganda zisizo na maana.
 
Mnyika bado mtoto mchanga. Kila akiongea pumba kila akichangia bungeni utatamani uingie uvunguni. Mlisikia kituko chake jana? Huyu ni kiongozi aliyekula kiapo anaongoza kwa kushabikia utoto wa kisiasa. Yule mlemav wa arusha goodbye lema alimtafuta chokoraa arusha na kumvalisha nguo za alishababu na kujidai eti ni mpiganaji wa jwtz lakini hata kikosi chake akifahamu. Halafu mnyika akadakia na kuunga mkono huo utoto na kuhusisha na mambo ya meremeta???? Yeye huyu aliwahi kumkashifu m

kama hauna evidence usiongee,huyo ni mwanajeshi sisi tunamjua,kama kawaida yenu mnapenda kubadili nyeupe kuwa nyeusi ili mpate mandate lakini hapo umekwama Mnyika ni jembe,uso wako unakataa lkn moyo wako unamkubali kwa kuwa ndani ya ccm hamna kijana mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kama mnyika ,
 
Mnyika bado mtoto mchanga. Kila akiongea pumba kila akichangia bungeni utatamani uingie uvunguni. Mlisikia kituko chake jana? Huyu ni kiongozi aliyekula kiapo anaongoza kwa kushabikia utoto wa kisiasa. Yule mlemav wa arusha goodbye lema alimtafuta chokoraa arusha na kumvalisha nguo za alishababu na kujidai eti ni mpiganaji wa jwtz lakini hata kikosi chake akifahamu. Halafu mnyika akadakia na kuunga mkono huo utoto na kuhusisha na mambo ya meremeta???? Yeye huyu aliwahi kumkashifu mheshimiwa rais na kumuita dhaifu wakati huyu mnyiku tangu achaguliwe ubungo hajawahi kufanya lolote zaidi ya kufungua matawi kwenye vijiwe vya wahuni. Sasa 2015 atapimana ubavu na jembe nape mnauye.

Angalia kura hapo juu nape anavyopigwa mtungo!
 
Ndg yangu hivi NAPE nae ni mwanasiasa! Lakini mshishae kwa CCM ni sawa manake hicho si chama tena ni pesa yako tu inakuingiza CCM na si uwezo wa ubongo wako kama ilivyokuwaga zamani
 
Ndg yangu MMWAISOBA hivi kweli ww ni mzalendo! Wa nchi hii kweli ?Ni NAPE aliwahi kuliongea na umma ukamkubali yaani kweli nitaendelea kuamini TANZANIA itaendelea kudumaa kwa akili za namna hii
 
nape ni vuvuzela tu. huwa linalia kila milio ili mradi ni kelele zisizo na mantiki
 
naona furaha inatimia baada ya kuona mtu anavyo buruzwa kama mzigo...... Mue mnaangalia mnapo shindanisha maana hapa hamjatenda haki kwa Mnyika wala Nape Jr.. Ki ukweli Nape mnge mshindanisha na kinana ivi inge kua safuuu kidogo, alafu Mnyika mngemshindanisha na alie mchagua au alie mteua Nape Jr
 
Back
Top Bottom