Nape Nnauye ataka Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyodhibitiwa iruhusiwe. Je, hoja hii inatoka moyoni mwake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.

Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge wake wa 2020 ulikuwa wa kupita bila kupingwa, baada ya juhudi zake za kumhujumu Mgombea wa Chadema kufanikiwa na kumbambika Kesi ya Rushwa.

Swali letu kwa Nape ni dogo tu. Je, hoja yake hii mpya inatoka Moyoni mwake au AMETUMWA Kupima Upepo?
 
Pengine inaweza kuwa kwani naye alishaonja ladha ya kunyamazishwa🤸🤸
 
Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.

Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge wake wa 2020 ulikuwa wa kupita bila kupingwa, baada ya juhudi zake za kumhujumu Mgombea wa Chadema kufanikiwa na kumbambika Kesi ya Rushwa.

Swali letu kwa Nape ni dogo tu. Je, hoja yake hii mpya inatoka Moyoni mwake au AMETUMWA Kupima Upepo?
HUYU HUYU NA Magufuli walizuia BUNGE LIVE ili Wapinzani wasisikike na kuzuia Mikutano ya Hadhara wakidhani Chadema ITAKUFA Leo anadai Mikutano ni Afya Siku zote hakujua?
 
Upumbavu tu, tatizo watengeneze wenyewe, wajifanye kulitatua wenyewe kisha watafute popularity.,
Huyu bwana ndio alikuwa custodian wa mchakato wa kuzima bunge kuwa live.
 
Kwamba anakiri Chama chake kimelala USINGIZI, tena Ule wa pono!!!!

Kikwete aliwahi Sema, ukimpa nape kuongea, Si Rahisi kutabiri ataongea nn baada ya dk 2.😃😃😃
 
Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.

Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge wake wa 2020 ulikuwa wa kupita bila kupingwa, baada ya juhudi zake za kumhujumu Mgombea wa Chadema kufanikiwa na kumbambika Kesi ya Rushwa.

Swali letu kwa Nape ni dogo tu. Je, hoja yake hii mpya inatoka Moyoni mwake au AMETUMWA Kupima Upepo?
Nape....Mzalendo Halisi...
 
Back
Top Bottom