Nape Nnauye analizimia Gwanda la CHADEMA

Hilo gwanda mimi mwenyewe nilivaa enzi zile za
"Kiapo cha chipukizi, Kiapoooooo
We ni nani, Mi ni chipukizi
Kiongozi wako ni nani, Nyerere na Mwinyi
Nitakitumikia chama changu kitukufu cha CCM, saa yeyote, wakati wowote, mahali popote, Mungu nisaidie!

Dah tunatoka mbali, siamini kama sasa watu wanaidharau CCM waziwazi,
 
teh teh teh kwa mara ya kwanza nilimuona fb mtu alipost picha yake akisherekea miaka 35 yao kule mwanza, nkacheka saaaaana. Ataacha tu maana hata pinda hayapendi na hivi mlivyomchongea ndo kabisa. Anafikiri watu kwa chadema wanapenda gwanda tu, anasahau kuwa watz wakiona rangi ya kijani tu hata kama ni ya gari tunajisikia vibaya na maisha haya magumu

ama kweli watz ni vichwa vya wendawazimu,yahan hata kumbukumbu hakunaga!jamani ccm wameanza kuvaa sare zenye mshono wa hivyo hata kabla ya mtei ajakwapua pesa Bot na wala mbowe ajang'olewa jino akiwa disco.hilo ni vazi na sare rasmi ya green guard tangu enzi zileeeee.
 
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda.

Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika harakati za kisiasa kwa hapa nchini kwetu liliasisiwa na Freeman Aikael Mbowe wakati wa uchaguzi Mkuu 2005 akiwa mgombea Urais. Tangu wakati huo hadi leo vazi hilo limekuwa likitumiwa na CHADEMA katika rangi tofauti tofauti mfano Kaki, Nyeusi, Kijivu, nk kama vazi rasmi la chama hicho.

Na tafsiri ya haraka haraka kwa mtu anaevaa Gwanda ni ishara ya kuonyesha jamii kwamba yupo katika harakati za kuikomboa jamii hiyo. Sasa ndugu yetu Nape anavyovyaa Gwanda anatuambia kwamba anataka kutukomboa kutoka kwa nani? Na je ni lini CCM iliafiki matumizi ya Gwanda kama vazi lao rasmi.

My take to Nape: Kama analipendea vazi la Gwandwa is better aungane na waasisi wa vazi hilo ambao wako katika harakati za kuking'oa chama chake. Unless atuambie na yeye yupo katika harakati za kuking'oa hicho hicho.

Hizi ni baadhi ya Picha za Nape akiwa ndani ya Gwanda:-

319156_286002928087794_100000342668655_1013771_219457645_n.jpg

310401_261183447236409_100000342668655_924186_429896_n.jpg

311405_277900775564676_100000342668655_985012_1365890730_n.jpg

Ni kama ulikuwa kwenye mawazo yangu. Jana nilijiuliza tangu lini Magwanda yakawa vazi la CCM? Lakini naona gwanda linaanza kukubalika kwa nini lisiwe ndo vazi la taifa? ule mchakato unaoendelea wa kutafuta vazi rasmi la Taifa waliangalie pia vazi hili. Kwa Maoni yangu GWANDA linafaa kuwa vazi rasmi kwa taifa kama lilivyo kwa CHAMA Kubwa CHADEMA
 
Una umri wa miaka mingapi?......

CCM wameanza kuvaa magwanda hata kabla CHADEMA haijazaliwa na hata hakuna wazo la kuwa na wazo la kuanzisha CHADEMA....Magwanda(ya kijani) ndio lilikuwa vazi la Chipukizi wa CCM na UVCCM na hata wale vijana wa CCM waliokuw wakikimbiza Mwenge wa Uhuru enzi za Chama kimoja walikuwa wakivaa magwanda(shati la kijani kama alilovaa Nape,suruali nyeusi muundo wa kombati na kofia-ballet nyeusi)....Na aina hii ya vazi ilirithiwa toka TYL(TANU Youth League).......

Kumbuka hata Mwalimu Nyerere gwanda ndilo lilikuwa vazi lake hasa anaposhiriki shughuli za kijamii mfano kuunga mkono Azimio la Arusha, Matembezi ya Mshikamano n.k

284359ARUSHA_2_85.JPG
 
watoto wa juzi bana, mna aibisha fanyeni h/work kidogo

infact hapa Nape anastahili sifa kukumbushia jezi za zamani za ccm chipukizi na kisaikolojia anakimaliza chama chetu CDM, kwa ubora na mvuto wa rangi Kijani iko juu...it is acolour of life though CCM dont bring any life

Mkuu Waberoya hapa kuna wengine ukiwaambia kulikuwa Tanu Youth League wataona msamiati mgeni huo !
 
Nijuavyo mimi vazi la gwanda ni la migambo na siku hizi kuna hizi private security basi ndio wako tele, nyerere mwenyewe alikua anapigaga magwanda enzi zake hivyo Mbowe hajaasisi hii kitu, Utata uko kwenye rangi zaidi kwani kijani INAKERA yani hata akitumia fundi yuleyule anayetumiwa na Freeman bado tu ataonekana anatokea magamba.
 
Ah! Samahani ndugu yangu kwani waliopo pichani ni viongozi wa CCM au Serikali! nielimishe mkubwa
Una umri wa miaka mingapi?......

CCM wameanza kuvaa magwanda hata kabla CHADEMA haijazaliwa na hata hakuna wazo la kuwa na wazo la kuanzisha CHADEMA....Magwanda(ya kijani) ndio lilikuwa vazi la Chipukizi wa CCM na UVCCM na hata wale vijana wa CCM waliokuw wakikimbiza Mwenge wa Uhuru enzi za Chama kimoja walikuwa wakivaa magwanda(shati la kijani kama alilovaa Nape,suruali nyeusi muundo wa kombati na kofia-ballet nyeusi)....Na aina hii ya vazi ilirithiwa toka TYL(TANU Youth League).......

Kumbuka hata Mwalimu Nyerere gwanda ndilo lilikuwa vazi lake hasa anaposhiriki shughuli za kijamii mfano kuunga mkono Azimio la Arusha, Matembezi ya Mshikamano n.k

284359ARUSHA_2_85.JPG
 
Una umri wa miaka mingapi?......

CCM wameanza kuvaa magwanda hata kabla CHADEMA haijazaliwa na hata hakuna wazo la kuwa na wazo la kuanzisha CHADEMA....Magwanda(ya kijani) ndio lilikuwa vazi la Chipukizi wa CCM na UVCCM na hata wale vijana wa CCM waliokuw wakikimbiza Mwenge wa Uhuru enzi za Chama kimoja walikuwa wakivaa magwanda(shati la kijani kama alilovaa Nape,suruali nyeusi muundo wa kombati na kofia-ballet nyeusi)....Na aina hii ya vazi ilirithiwa toka TYL(TANU Youth League).......

Kumbuka hata Mwalimu Nyerere gwanda ndilo lilikuwa vazi lake hasa anaposhiriki shughuli za kijamii mfano kuunga mkono Azimio la Arusha, Matembezi ya Mshikamano n.k

284359ARUSHA_2_85.JPG

Bwana mdogo usipotoshe ukweli, hiyo picho uliyopachika hapo ni ya wanamgambo wawili na baadhi raia waliokuwa wakienda kwenye msako wa kuwasaka wapishi wa pombe haramu aina ya chang'aa maeneo ya Ngarenaro Arusha mjini. Hili ni mwaka 1969 mara baada ya azimio hilo kutangazwa na aliyekuwa waziri mkuu kwa wakati huo ndugu Edward Moringe sokoine. Usipotoshe ukweli acha ujinga na upumbavu, jidanganye wewe mwenyewe na magamba wenzako wanaopenda kuiga mambo ya cdm bila hata ya kuona haya!!!
 
Huna akili ww na umekurupuka.........mm sio magamba ila magamba niliwaona wakivaa gwanda kitambo sana nenda chimwaga maktaba kacheki mapicha yao ya kitambo! ebbbboooooo unaleta uongo hapa
 
Sasa magwanda yanamfanya mtu awe serious? Haya mambo ya kicommunist yatakwisha lini sijuhi?
 
Hilo gwanda mimi mwenyewe nilivaa enzi zile za
"Kiapo cha chipukizi, Kiapoooooo
We ni nani, Mi ni chipukizi
Kiongozi wako ni nani, Nyerere na Mwinyi
Nitakitumikia chama changu kitukufu cha CCM, saa yeyote, wakati wowote, mahali popote, Mungu nisaidie!

Dah tunatoka mbali, siamini kama sasa watu wanaidharau CCM waziwazi,
Kwa sababu sio wote tuliokula viapo vya ujinga ndio maana unashangaa tunavyoidharau CCM wazi wazi. Binafsi hata ule moto unaoitwa mwenge sijawahi kuukimbiza. kwahiyo hakuna juju lolote la CCM ambalo limeathiri ubongo wangu na uwezo wa kufikiri.
 
:flypig:labda JMK anajiandaa kuruka hivyo inabidi kikao cha ccm kiwe ikulu asije akachelewa ndege akifika awasalimie:shock:
 
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda.

Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika harakati za kisiasa kwa hapa nchini kwetu liliasisiwa na Freeman Aikael Mbowe wakati wa uchaguzi Mkuu 2005 akiwa mgombea Urais. Tangu wakati huo hadi leo vazi hilo limekuwa likitumiwa na CHADEMA katika rangi tofauti tofauti mfano Kaki, Nyeusi, Kijivu, nk kama vazi rasmi la chama hicho.

Na tafsiri ya haraka haraka kwa mtu anaevaa Gwanda ni ishara ya kuonyesha jamii kwamba yupo katika harakati za kuikomboa jamii hiyo. Sasa ndugu yetu Nape anavyovyaa Gwanda anatuambia kwamba anataka kutukomboa kutoka kwa nani? Na je ni lini CCM iliafiki matumizi ya Gwanda kama vazi lao rasmi.

My take to Nape: Kama analipendea vazi la Gwandwa is better aungane na waasisi wa vazi hilo ambao wako katika harakati za kuking'oa chama chake. Unless atuambie na yeye yupo katika harakati za kuking'oa hicho hicho.

Hizi ni baadhi ya Picha za Nape akiwa ndani ya Gwanda:-

319156_286002928087794_100000342668655_1013771_219457645_n.jpg

310401_261183447236409_100000342668655_924186_429896_n.jpg

311405_277900775564676_100000342668655_985012_1365890730_n.jpg

GWANDA NA KIKUKUUUU HALIPENDEZI,HATUVAA VIKUKU SISI SO AKIVUE KIKUKU CHAKE KWANZA ILI ALIPE GWANDA HESHImA YAKE AU ANAUZA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI??
 
Back
Top Bottom