TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda.
Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika harakati za kisiasa kwa hapa nchini kwetu liliasisiwa na Freeman Aikael Mbowe wakati wa uchaguzi Mkuu 2005 akiwa mgombea Urais. Tangu wakati huo hadi leo vazi hilo limekuwa likitumiwa na CHADEMA katika rangi tofauti tofauti mfano Kaki, Nyeusi, Kijivu, nk kama vazi rasmi la chama hicho.
Na tafsiri ya haraka haraka kwa mtu anaevaa Gwanda ni ishara ya kuonyesha jamii kwamba yupo katika harakati za kuikomboa jamii hiyo. Sasa ndugu yetu Nape anavyovyaa Gwanda anatuambia kwamba anataka kutukomboa kutoka kwa nani? Na je ni lini CCM iliafiki matumizi ya Gwanda kama vazi lao rasmi.
My take to Nape: Kama analipendea vazi la Gwandwa is better aungane na waasisi wa vazi hilo ambao wako katika harakati za kuking'oa chama chake. Unless atuambie na yeye yupo katika harakati za kuking'oa hicho hicho.
Hizi ni baadhi ya Picha za Nape akiwa ndani ya Gwanda:-