NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

Nampenda sana kwa political tolerance yake facebook nilimzingua jussa weehh!!! nika blockiwa instantly..the jussa "gay" is so stupid..

Hamna lolote nilienda toe to toe asbh kuamka nikajikuta si mmoja wa Marafiki zake. Wanapenda kusifiwa tu kwenye wall zao
 
Karibu cdm hawana ubaguzi ila hawataki mafisadi. we umetamani tu vazi ila yako mengi huko cdm unaweza kutamani km swala la kutetea masilahi yanchi na haki ni zuri hata kiliko vazi
 
...mkuu usishangae kuiga magwanda,mbona kila kitu? Umesahau matumizi ya chopa (HELKOPTA) kwenye kampeni,kwa mwanzilishi wa kutumia helkopta ni nani?
 
Nnauye uko juu!Dah magwanda ya makamanda Yanavutia kama madini yetu ndo maana umepigilia,je majani yenu yamenyauka had unaleta ukorof kwa wanaume?Haya chagua 1 kuachana na magamba wenzio au kurudsha kadi ya magamba uje tukunyooshe makamanda!!,kizaz kijacho kitakukumbuka then utubu madudu yako.
 
nimempongeza sana Napoe kwa hatua ya ukomavu wa kisiasa, hongera sana Nape. umefanya mambo machache sana ambayo wanasiasa huwa hawfanyi, nalo ni kukubali matokeo. mana hata Batilda pamoja na kupitwa kwa kura nyingi bado aliamini kahujumiwa.

Ila ushauri wangu huru ndugu Nape, Hamia CDM ukomboe nchi hii, huko uliko ukombozi hauwezekani kabisa wenzio ni matajiri wewe ni mtoto wa mskini hutowaweza hao. Njoo, uchukue jimbo la Kinondoni 2015. Mnyika Ubungo, wewe Kinondoni na Mdee Kawe. wewe ni kijana mwenye maono na mkweli ila you are fighting at wrong place and group.
Hamia airtel na uhamie pia CDM! mimi ni mwana CCM mwenzio lakini sasa nahamia CDM
 
Mie huwa namuonea sana huruma nape anavyoandamwa hapa na wanajf ila hajiulizi ni kwanini!

Kwanza kabisa mumwambie Nape atutake radhi CHADEMA kwani leo hii hadharani mbele ya vyombo vya habari amsikika akitamka kuwa CHADEMA ni watani wa ccm wapi na wapi CHADEMA wakawa na utani na mafisadi, wabakaji wa Demokrasia, wanaolishana sumu, wapiga mapanga wa wabunge wetu, maharamia na watekaji wa wanachama wetu?
 
Hivi hujui kama ccm wanacopy nakupaste kila kitu kwa chadema mfano hoja ya katiba mpya na hata kukataa posho bungeni
 
Nadhani BASATA wasijisumbue tena na kutafuta vazi la Taifa, mshono wa kichadema kwenye rangi yoyote unakubali, na umekubalika kwenye jamii bila kulazimishwa, ndo maana hata CCM nao wanaiga, nguvu ya mabadiliko itokanayo na umma hata uwe nani itakusomba tu.
 
Gwanda lake feki, sie chadema huwa twatumia rangi hiyo kwenye misiba!
Hjafanya kosa maana kalivaa wakati muafaka. Wee hujuii kuwa wako kwenye msiba. Au kwa sababu wewe una raha ya ushindi wa Arumeru ukadhani wote ni kama wewe. Mwenzako anaomboleza kifo cha CCM Arumeru.
 
mbona wana JF mnakua wanafiki? Halafu sasa hivi mnamvimbisha kichwa ahamie CDM aje kufanya nini? Mwacheni jamani aendelee kutembelea V8 la magamba na Mshahara wake wa 4 M
 
I dont think Chadema needs him. Napendekeza Chama kijengwe na Vijana wasiokuwa na Damu ya CCM kwa namna yoyote ile. Kama Nape akija Chadema abaki kuwa mwanachama wa kawaida tu kwa kipindi kisichopungua miaka kumi ili sumu yote ya ufisadi imtoke. And this should apply to anybody from CCM to CDM.

Hatutaki sumu ya ufisadi na Uchu wa madaraka wa kiCCM uwaingie wanaCDM kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom