NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

Jamani hizi gwanda zinauzwa wapi tukanunue? kama hakuna sehemu maalum nawaomba CHADEMA wafungue vituo maalum ili tukanunue maana hii M4C inafaa sana ukiwa na hilo gwanda. Muhimu sana
 
Inanisikitisha kuona ccm wamekuwa wanaiga kila kitu cha chadema.
Kule Arusha jimbo la Arumeru waliiga salamu ya chadema ile ya kukunja ngumi, wao wakawa wanakunja kumi lakini wananyanyua dole gumba.

Sasa Nape na wenzake wamehamia kwenye mavazi, gwanda jeusi kwa mara ya kwanza lilionekana kwenye msiba wa chacha wangwe, halafu baadae Arusha, likaendelea kwa Mtema. Leo nimemuona Nape nae kavaa gwanda jeusi.

Wameiga wanashona yale manguo yao ya kijani kama magwanda. Wana nini hawa wasio penda kubuni vyao? Nape ana nini kupenda kuvaa kama wanachadema wanavyo vyaa?!
 
wamezidiwa ujanja mpaka wanashindwa kuwa creative wa mambo yao
 
Mwache akae huko huko kwa mafisadi wenzake, kwani akiamia cdm, atakuw mamluki na kuwavuluga makamanda wetu.
 
Waache tu waige huwez jua ya Mungu.kidogokidogo watajikuta wameshona Magwanda ya Khak km Chadema.
 
Magwanda?? Zamani yalikuwa ni mavazi wa watu wa hali ya chini - makaki (Ukiweka pembeni askari/wajeshi/wanafunzi). Siku hizi ni nguo za bei mbaya, nashangaa hawa wanaotaka kuwakomboa maskini wakionesha mfano kwa kuvaa nguo hizo.Kama kila chama, kwa idadi ya utitiri wa vyama vilivyoko hapa Tz, watasema aina fulani ya nguo za uniform zao, itafika wakati watu wasio washabiki wa chama cho chote wakakosa nguo ya kuvaa.Mwisho Timu/Wana Yanga wote ni CCM?
 
Inanisikitisha kuona ccm wamekuwa wanaiga kila kitu cha chadema.
Kule Arusha jimbo la Arumeru waliiga salamu ya chadema ile ya kukunja ngumi, wao wakawa wanakunja kumi lakini wananyanyua dole gumba.

Sasa Nape na wenzake wamehamia kwenye mavazi, gwanda jeusi kwa mara ya kwanza lilionekana kwenye msiba wa chacha wangwe, halafu baadae Arusha, likaendelea kwa Mtema. Leo nimemuona Nape nae kavaa gwanda jeusi.

Wameiga wanashona yale manguo yao ya kijani kama magwanda. Wana nini hawa wasio penda kubuni vyao? Nape ana nini kupenda kuvaa kama wanachadema wanavyo vyaa?!

hakuna vijana huko, ni wazee na fikra za kizee tu!
 
Wameishiwa idea, hawajui wafanya nini au hata wavae nini. Solution ni kuangalia CHADEMA.
 
hana jipya, Mzee Makamba na timu yake walikuwa ma failures, ila hawakuvunja rekodi,
am telling you, Hawa waakina nape wataharabu mara 50 zaidi hata ya akina Makamba na Kichaa wake Tambwe Hiza
kwa hiyo unamaanisha kichaa wao wa sasa ni Jiwe linaloishi Lusinde aka Mzee wa Kibajaji
 
Back
Top Bottom