TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.
My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.
Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?
Source: David Kafulila | Facebook