Nape na Bash..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,680
79,100
hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu
 

Attachments

  • nape na bashe.jpg
    nape na bashe.jpg
    35.5 KB · Views: 139
Hivi jamani tuelezeni na huyu Bashe ni nani..... maana nasikia bashe bashe....samahani lakini wengine wageni katika siasa
 
Anamshangaa jamaa anavyo payuka bila kutumia busara, mambo mengi anayo yaongea, baadaye huonekana ni upuuzi
 
Inaonekana siyo marafiki kabisa, hata kuzuga imeshindikana:

12.JPG
 
Back
Top Bottom