Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,672 79,089 Jul 7, 2011 #1 hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu Attachments nape na bashe.jpg 35.5 KB · Views: 139
Kite Munganga Platinum Member Nov 19, 2006 1,773 952 Jul 7, 2011 #2 mtu chake said: hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu Click to expand... Bashe anamlia timing Nape
mtu chake said: hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu Click to expand... Bashe anamlia timing Nape
G geophysics JF-Expert Member Nov 1, 2010 904 166 Jul 7, 2011 #3 Hivi jamani tuelezeni na huyu Bashe ni nani..... maana nasikia bashe bashe....samahani lakini wengine wageni katika siasa
Hivi jamani tuelezeni na huyu Bashe ni nani..... maana nasikia bashe bashe....samahani lakini wengine wageni katika siasa
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,952 Jul 7, 2011 #4 Jamaa anajiandaa kumzaba kofi la dharau Nape.
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 781 Jul 7, 2011 #5 NApe huyuhuyu ndy anakunywa maji nya kilimanjaro?....atakuwa ameminyia kiroba!
golwebo_mkuu JF-Expert Member Mar 31, 2011 2,271 688 Jul 7, 2011 #6 bashe anaonekana hampendi kabsaaa nape
Nyange JF-Expert Member Mar 25, 2010 3,516 1,865 Jul 7, 2011 #7 Anamshangaa jamaa anavyo payuka bila kutumia busara, mambo mengi anayo yaongea, baadaye huonekana ni upuuzi
Anamshangaa jamaa anavyo payuka bila kutumia busara, mambo mengi anayo yaongea, baadaye huonekana ni upuuzi
TANMO JF-Expert Member Apr 12, 2008 11,515 11,277 Jul 7, 2011 #8 Inaonekana siyo marafiki kabisa, hata kuzuga imeshindikana:
P pimbika Member Apr 19, 2011 75 2 Jul 8, 2011 #9 mtu chake said: hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu Click to expand... Ananasa points za nape ili aongezee zake aseme yeye ni mwerevu kuliko.
mtu chake said: hapa ni Nape na Bashe..hebu itafakari hii picha japo kdg tu Click to expand... Ananasa points za nape ili aongezee zake aseme yeye ni mwerevu kuliko.