Badala ya kueleza mikakati waliyonayo(CCM) kuondoa kero za huduma ya jamii,wao wananunua kura!Kuwashawishi wagombea vyama vingine kwa pesa na vyeo serikalini ili wajitoe kugombea,waende CCM.SHAME CCM,mmevuna aibu yenu. Na BADO 2015,CCM mtasoma namba.
Mimi nina uwezo wa kushawishi wapiga kura 100 kijijini kwangu wapigie kura mabadiliko 2015,Je wewe?
Mimi nina uwezo wa kushawishi wapiga kura 100 kijijini kwangu wapigie kura mabadiliko 2015,Je wewe?