hii kali.....................
anajifananisha na mbwa.....................
kwamba yeye amefugwa na CCM...........................
na anasema ukifuga(CCM) mbwa (Nape) usibweke mwenyewe
Tuhabarishen zaidi kwani mlimani tv huku haishiki
sasa anazungumzia mambo ya Economy.
sisi wengine tunamuinjoi tu.
anasema bei ya mafuta imepanda kwa sababu ya qaddafi kuondolewa na mende.
bahari imechafuka.
sijui nini na nini.........
Nape anasema pesa yetu inashuka thamani sababu wageni wananua vitu kariakoo kwa dola.
Huyu jamaa sijui vipi
Hivi watz wenzangu, ni nini tunakipigania kama watanzania, ni mivutano ya maneno ambayo haina mwelekeo wa kuinua uchumi wa taifa letu? au ni kuunga mkono watu ambao wametumia muda wao katika madaraka kujilimbikizia mali na na kuwa sehemu ya kuyumba kwa uchumi wa taifa letu kwa kufakamia kila fursa ya kibiashara inayotokea katika nchi yetu, au wale ambao wanadhamira ya kurejesha nidhamu katika CCM na serikali yake ya kuheshimu madaraka na nyadhifa wanazokabidhiwa, kama anavyofanya NAPE? tufike mahali tubadilike, tuache tabia ya uCCM na uCHADEMA, tutetee nchi yetu.
-nyoka anavua gamba kuanzia kichwani na inaenda taratibu
Huyo jamaa yuko kazini na analipwa kutokana na "followers" wa kwenye mitandao kutokana hizo pumba zake anazomwaga. Mwisho wa siku anauliza "leo wangapi wamechangia kwenye JF na mitandao mingine" .anajibiwa "2000 mzee!!" Anakunja zake noti anatokomea kwenye ulabu!!Sikia pumba za nape mlimani tv now!