Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

sasa anazungumzia mambo ya Economy.

sisi wengine tunamuinjoi tu.

anasema bei ya mafuta imepanda kwa sababu ya qaddafi kuondolewa na mende.

bahari imechafuka.

sijui nini na nini.........
 
sasa anazungumzia mambo ya Economy.

sisi wengine tunamuinjoi tu.

anasema bei ya mafuta imepanda kwa sababu ya qaddafi kuondolewa na mende.

bahari imechafuka.

sijui nini na nini.........

Ameanza uchumi !!!!!!!
  • Iinatakiwa wamuulize kwa nini bei ya dhahabau inapanda lakini thamani ya shilingi inashuka?
  • Ni kitu gani kinataiwa kupandisha thamani ya shilingi Tanznia aukuifanya iwe stable?
 
anapigwa maswali ya akili sasa:

  1. amejitapa wamefanya kampeni za kistaarabu igunga, lakini hapohapo kuna kada wa chadema ameuwawa igunga, je huo ndo ustaarabu?
  2. anasema badala ya watu kuandamana kupinga dowans, waende mahakamani. lakini kisheria ICC ikiamua hakuna mahala mtu anaweza kupinga, je hiyo ni changa la macho?
  3. Kwa nini anapishana mtizamo wa Dowans na Samuel Sitta?
 
Hivi watz wenzangu, ni nini tunakipigania kama watanzania, ni mivutano ya maneno ambayo haina mwelekeo wa kuinua uchumi wa taifa letu? au ni kuunga mkono watu ambao wametumia muda wao katika madaraka kujilimbikizia mali na na kuwa sehemu ya kuyumba kwa uchumi wa taifa letu kwa kufakamia kila fursa ya kibiashara inayotokea katika nchi yetu, au wale ambao wanadhamira ya kurejesha nidhamu katika CCM na serikali yake ya kuheshimu madaraka na nyadhifa wanazokabidhiwa, kama anavyofanya NAPE? tufike mahali tubadilike, tuache tabia ya uCCM na uCHADEMA, tutetee nchi yetu.
 
wewe umedandia mjadala.

Nape amesema yeye ni mbwa tu. Katumwa kubweka na wenye mbwa.

Anachokiongea hapo si dhamiri yake.

Ni unafiki tu.

Pole sana kwa kupigwa changa la macho.
 
-eti maandamano munamuandalia nani?
-chadema iwasaidia wanasheria wa serikali ikate rufaa(hadema wawape point ili serikali ishinde kesi)
-nyoka anavua gamba kuanzia kichwani na inaenda taratibu
-tufanane.wenye mabawa makubwa yakatwe twende sawa
-tumesikitishwa na kifo cha kada wa chadema.ccm hatujakaa kikao cha kuua mtu,naomba dola ifanye uchunguzi
-wageni wakija wananunua vitu kwa dollar ndo maana shilling inashuka.roger
 
Sikia pumba za nape mlimani tv now!
Huyo jamaa yuko kazini na analipwa kutokana na "followers" wa kwenye mitandao kutokana hizo pumba zake anazomwaga. Mwisho wa siku anauliza "leo wangapi wamechangia kwenye JF na mitandao mingine" .anajibiwa "2000 mzee!!" Anakunja zake noti anatokomea kwenye ulabu!!

Hebu achaneni naye tujadili mambo yenye maana. Hii ni Post yangu ya kwanza na ya mwisho kwenye kujadili mambo ya Nape!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom