Nape, huwezi kushindana na TEC

Pale utakapo jua kuwa mtu mweusi ni mtumwa wa mtu mweupe utanielewa na wala huta jisumbua kutetea upuuzi. Mimi nataka waarabu wakabidhiwe hiyo bandari bila kuzingatia hoja zozote na pia hii sio kwa faida yako wala kwa faida ya mtanzania yoyote hii ni kwafaida ya watawala wa hii dunia ambao hawafi na wanaishi milele. Wewe utapiga kelele kwani bandari ipo pale siku zote imekusaidia nini?

Wacha watu watengeneze channel za fedha tumalizane na hili swala Mambo mengine ya msingi yaendelea
Huna akili 🚮
 
Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Mambo ya Rwanda na huu waraka no tofauti kabisa...huko Kosovo ni weusi siyo?!?! Na wapalestina nao ni weusi...Ireland nako ni weusi?!?
 
Kwa hili nape kakosea sana na kadhihirisha kuwa waziri zuzu kuwahi kutokea na bahati mbaya aliyoipata tamko limesambaa kisawasawa kupitia mitandao ya kijamii na limevuka mpaka mipaka ya nje liko Duniani huko laita kama angefikiria hivyo asingehangaika kuwapigia simu TBC,ITV,Startimes sijui Azam,na wengineo kuwaambia wasitangaze hiyo habari kajidhalilisha tu
Hivi una habari kama huyo jamaa ni kati ya viongozi weupeeee kichwani?
 
Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini
Wewe wala usiingie shaka!

Kama kugombana watagombana hao ngumbaru CCM ila mimi na wewe huku mtaani ambako ridhiki zetu na za familia zetu zinapitia kwenye mikono yetu kupitia kwa kila mmoja wetu siyo rahisi kama unavyofikiria,dunia ya sasa na Watanzania tulivyoamka siyo rahisi kutokea religious war mimi business partner wangu ni Muislam na nina kijikampun uchwara cha usafiri wa Bajaj msimamizi anasimamia Muislam 95% drivers ni waislam sijui watatoa wapi guts za kuja kuniuwa au mimi kuwauwa eti sababu Samia katoa bandari kwa mikataba ya Kimang'ungo.

Hizo ni kauli za wanasiasa wapumbavu wasiotaka ukweli ufahamike,nilimshangaa hata Mzee Kikwete kuingia akiwa kichwa kitupu kwenye hili sakata.shida inaanza Watanzania wengi ni vichwa boga siku tukiweza kutenganisha uelewa wa dini na umuhimu wa taifa letu basi tutakuwa tumekomboka kwa mengi sana.
 
Mbona dini na madhebu yote yanaanzia mitaani, si ndio watu wote wanakoishi!
Maana yake ni kuwa waromani uwa wanakutana kwa ibada fupi za kimaombi katika kaya na mitaa. Hivyo huo waraka utakuwa unasomwa katika kaya na mtaa au vigango huko wanakokusanyika.
Hii ni tofauti na madhehebu au makanisa mengine ambayo usubiria siku za Jumamosi kuonana kanisani ambapo si wote uenda kanisani.
Waromani uwa kuna muda wanamtembeza bikra Mariam nyumba kwa nyumba za waumini wao, wakifanya maombi.
Kupitia hii ni kuwa kanisa limejijenga vizuri huko chini linamizizi kuwezesha watu kukutana na kujadiliana. Si kama makanisa mengi wataonana siku kadhaa tu kwa wiki.
Kitu kimoja mbali na waislamu ambao wanautii kwa dini yao, wengine walio na utii kwa dini yao na kuwasikiliza viongozi wao ni waromani. Hawa watu ufundishwa na kufundwa toka utoto. Ukimkuta mromani wa kweli kweli ni mromani haswa.
 
Eti wanamtembeza bikira maria nyumba kwa nyumba! Wanatembeza sanamu wanaloliabudu
 
🤣🤣nape
Fomu foo felia🤣🤣
Mzazi wake hasili hamjui🤣🤣
Degree feki na za kuungaunga🤣🤣
No simdhalilishi,tunaeleza tu🤣
Am stating the facts
Mkewe alimtoa wapi vile🤣🤣
Haya hongera
Kazi njema🙏👌🇹🇿💋
 
Back
Top Bottom