voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.
Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba, haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine Nape haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.
Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.
Nikimaanisha kwamba kuna maeneo ambayo ni ndani kabisa ya jamii huko mashambani ambako hata ofisi za serikali hazipo.
Lakini kuna vigango vya kanisa la Roman catholic na waumini pia wakiwepo wa kutosha
Nape anapaswa kuelewa kwamba.... yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.
TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.
Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.
Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili, sababu watanzania tunalijua hilo.