Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM

WANAOTAKA KUJUA nilisema nini chuo cha kiislamu Morogoro,asome post ya Achebe ya mwanzo yenye kichwa cha habari....bajeti imelenga kutatua kero za elimu ya juu... Hata kama si yote ameyaandika Achebe lakini hiyo ni standard..
Kuhusu eti nimetembelea chuo cha kwasababu ni cha kiislamu, nadhani hawakuona nilipokutana na wanafunzi wa Udom na Tumaini Iringa.

mkuu ni nini kimesukuma ukaona upeleke mashambulizi kwa vijana wa vyuo?
 
Back
Top Bottom