kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 116
acheni kukurupuka anajua kuwa cdm 2015 silaha atakuwa hayupo.fikiri kwakina
mwanaccm hakataliwi wala mazuri ya ccm hayakataliwi ila ukileta pumba za ccm lazma zipanguliwe!Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.
Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.
huko ndo saizi yake na ndo kwenye vibaraka wake huko. Chuo chenyewe kinatoa dgree za ajabu sana zinatambulika qatari, omani,saud arabia na afghanistani tu.
Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.
Siyo bukta tu,Nepi imegeuka kuwa peddlenEPI IMEKUA BUkta.
Kutoka eneo la kihonda mjini morogoro kwenye eneo la chuo kikuu cha Muslim university of morogoro ,yaani chuo kikuu cha kiislamu morogoro katibu wa itikadi na uenezi wa ccm Bw Nape Nauye amekiri rasmi kwa ulimi wake kuwa yawezekana Dr slaa akaukwaa urais mwaka 2015. Akizungumza kwenye mahafali ya wanafunzi wapatao 37 ambao ni wanachama wa CCM Nape aamenukuliwa akisema.."vijana wenzangu kwa kweli tuna hali mbaya sana hata kama tunajitahidi kushambulia kwenye vyombo vya habari na majukwaani ila wenyewe mashahidi kule rukwa ni watoto walikuja kwenye mikutano yangu hivyo hali yetu mbaya na hali ikiendelea hivi basi 2015 tujiandae kuwa wapinzani chini ya rais Dr slaa"
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
Ingekuwa vizuri kama ungetueleza ulichokisema kumuhusu Dr Slaa ili tujue kama ule ni uzushi au laa, au hukumtaja kabisa Dr Slaa kwenye huo mkutano?NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
hata huu ni uzushi tu..