NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:
 
Jana pro-CMD mlisema leo mtakuwa bize na maandalizi ya Kombe la UROPA, kulikoni tokea asubuhi mada ni mkutano wa CCM!

Kweli CCM inatisha!
 
Inatisha kwa staili hiyo? Au inajitisha yenyewe? Mpaka chama amambacho hata hakina usajili mnakitolea matamko na kuamua kuleta maroli yenu kweli mmeishiwa nyinyi!

Vua Gamba Vaa Gwanda mkuu!
 
Mkuu kuandaa usafili ni kawaida sana katika mikutano, moja ya benefit ni time management maana wahusika wanafika kwa wakati! pili mkuu wangu, tishio la makondakta lazima lichukuliwe kwa tahadhari, kwa hiyo haiwezekani chama kikategemea daladala ambazo zimeazimia kugoma. Mkuu wangu huoni kama kuna sababu ya msingi ya kutafuta usafili mbadala hapo?
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

Mkuu nadhani blog sio kitu cha siri.. Naomba utuwekee jina la blog au link..
Asante!
 
Wangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

mi sijaelewa hapo juu....baba wa taifa alijiondoa ccm?
 
NAPE asije akawa anatafuta upenyo wa kutumia maroli kubeba watu kuwapeleka JANGWANI a.k.a CHADEMA SQUARE. inawezekanaje konda agome kuwabeba wenye sare za ccm?
 
TUME acha kuwaambia ukweli, huwa hawapendi ukweli!!! Wamebaki kujitetea!

chadema wasingefanya mkutano hapo chadema square ....ccm ingefanya mkutano leo??......mbona juhudi zenu za kukusanya watu zinawauiza vichwa??.....waacheni waje wenyewe,..lengo la mkutano ni kupima upepo wa ccm kwa wakazi wa dar sio?.......watu wanaweza kuja na wakajaa lakini wasiwe pamoja na ninyi .....yale maandamano ya mnyika kutoka mahakama kuu hadi kimara na ule mkutano wa chadema pale jangwani vinawaumiza vichwa sana
 
Uongo wa kitoto, aende akatunge riwaya huko. Huyu bado anakumbuka usafiri wa wale wazungu wao maVIP.
 
chama cha mapinduzi taarifa kwa vyombo vya hahari:
Tarehe 9/6/2012:

ninawasihi chachamuda waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

Kimara, ukonga, kigamboni,mbagala,tegeta, na kwingneko,

huu ni uvunjaji mkubwa wa sheria, sheria za usalama barabarani zinakataza abiria kupanda kwenya magari ya mizigo kama maroli
 
Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.
:

Hii statement ya Nape inazua maswali na wasiwazi mkubwa,

Kwenye red: Mkutano wa Jangwani ni wa serikali au wa chama cha siasa? Nape anawatisha Makondakta kama serikali au kama msemaji wa chama cha siasa?

Lakini kubwa lililonistua ni hapo kwenye blue; Nape anasema kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiuangusha chama na hivyo kuondoka kwa Baba wa Taifa hakukuleta madhara kwa chama. Sijui nitumie maneno gani lakini ninachotaka kuuliza, Nape anaweza kuwaambia watanzania nini hasa kilimuondoa Baba wa taifa? Kwa maneno ya Nape ni kwamba CCM walijua baba wa taifa anaondoka na wakaona ni sawa tu maana hakutaleta matatizo kwa chama? Nani mwingine atafuatia?
 
Mkuu kuandaa usafili ni kawaida sana katika mikutano, moja ya benefit ni time management maana wahusika wanafika kwa wakati! pili mkuu wangu, tishio la makondakta lazima lichukuliwe kwa tahadhari, kwa hiyo haiwezekani chama kikategemea daladala ambazo zimeazimia kugoma. Mkuu wangu huoni kama kuna sababu ya msingi ya kutafuta usafili mbadala hapo?

Usafiri kwa ajili ya nini? chema hujiuza kibaya chajitembeza. Waondeleeni kero za maisha ndo suruhisho zaidi ya hapo ni unafiki tu.
 
Back
Top Bottom