Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape athibitisha alikuwa mgonjwa ghafla jijini Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Losambo, Jan 23, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nape Nauye leo amethibitisha kuwa zile tetesi au habari ambazo zilikuwa zipo mitandaoni kuwa alilazwa jijini Mwanza baada ya kuugua ghafla ni kweli.

  Amesema hamuhisi mtu yoyote kuhusu kuugua kwake kwani ni hali ya kawaida na hivi sasa yupo gado ofisini kuhakikisha magamba yanavuka.

  Sourrce TBC1. Taarifa ya habari 08:00 p.m
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,516
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ila si hajafa ama?
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,774
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Lakini alikua anaongea kwahuruma sana sijui ni nini kilichomsibu mpaka kupelekea kuugua ghafla? Siasa is a very dirty game!
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,234
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  Kweli siasa ni mchezo mchafu.
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 3,981
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  nape nae asipoangalia watammwakyembe
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,305
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mhh i hate politics....a very dirty game
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 6,118
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Ndio nani huyo???
   
Loading...