Nape asema Edward Siyo msafi

EL akiwa pres Nape atahama nchi kabisa bila ya kufukuzwa,atakimbilia USA kupiga box ajiangalie sana maana upepo huu ukipita ukavuma mwingine wenye kunukia marashi samli ya Monduli atashangaa!hataamini na atatafuta pa kwenda na Riz 1 wake maana hawana kinga hao!
 
Nape why should you shout and talk openely, that LOWASSA is FISADI? Ya nini umung'unye maneno, mnamwogopea nini huyo FUNZA? Anaendelea kutengenezea mtandao wake. Ona sasa fisadi la kike Sofia limeshinda! Ccm chali kwa Lowassa. Ccm oyee!
 
Hivi nape leo ameamua kuropoka? Yani ni kweli watu wa kikuhisi basi ni ushahidi?

Kweli Nape ana weza kupambana na Lowasa au ana pima upepo?

Nape hakika atapotezwa! Hivi kazitoa wapi nguvu hizi za kupambana na lowasa?

Je Ritz ana kubaliana na Nape?
 
Nawahakikishia ccm, cuf, na cdm. Lowasa asipokuwa rais mwaka 2015 basi nchi itakuwa imeshatawaliwa kijeshi. Bora tu muiweke mioyo yenu tayari masna hilo ni dhahiri na hakika.
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

''Kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali km wa2 wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kmb ww siyo msafi''. Je, ni kwann wale wanaotajwa kila kukicha kwamba si wasafi hawachukuliwi hatua? Au ni sisi ndio tunasikia kwamba wanalalamikiwa na wao(CCM)hawasikii au hawajui hlo? Inasikitisha sana.
 
kama wewe msafi ccm hupati kitu ,,,,,lazima uwe mwizi wa mali ya uma uibe 100 uwape kila mtu sh 50 aaaaaaaa wewe kidedea...anae bisha aje aseme hadharani
 
Kabla 'Dhaifu' hajawa Rais nilisikia mengi mabaya juu yake: 'alimfunga fulani na wanae'; ni mwenda disco; 'Nyerere alisema hawezi'....Ilipofika wakati wa kampeni za urais vyombo vya habari vilivyo rasmi na visivyo vikakoma kuongelea habari za Mr. 'Dhaifu'. Kwa uzoefu huo EL anajua historia kama hii itajirudia. Kiukweli Mr. 'Dhaifu' siyo dhaifu walio dhaifu ni watanzania kutokana na sababu nyingi. Nasema tena kwa mtandao huu ccm waweza kufanya lolote ilimradi wasalie madarakani hata Kwa Rais aliye na historia chafu kama ya EL. It is hard even for me to believe this and i continue to pray that it should not happen. my aspirations is to see new Tanzania being ruled with a new visionary political party.
 
Katibu wa itikadi na Uenezi anayeeneza uchafu wa chama chake na wanachama bila kushurutisha hatua za kinidhamu kuchukuliwa.ningekuwa yeye ningejiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa inaonekana chama hakiko tayari kujisafisha ili aeneze mambo masafi ya chama!

Nape amekuwa muenezi wa madhambi ya chama chake.
Anaongea utadhani kuwa yeye ni chama kingine na ccm ni chama kingine kisichomuhusu.
Kauli moja ya nape inafukuza wanachama 1000 wa ccm hasa wale wenye akili timamu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

JK hakua msafi kama kigezo ni kuhisiwa na wengi. Mascandal ya ngono na ufisadi hayako mbali nae lakini mling'ang'ana mpaka mkamueka na huyo Nape anaserve chini yake nw. Unafiki mtupu.
 
Nape amekosa uhalali kwenda kwenye vyombo vya habari na kuongelea rushwa na matumizi mengine mabaya ya fedha ndani ya ccm. Anazidi kuanika uozo ndani ya chama chake kuwa hakiko makini kuwashughulikia mafisadi kuendelea kujenga mitandao ya urais ndani ya chama.

Cha kujiuliza, kama Nape aligundua kuwa kuna hako ka mchezo ka kupanga wajumbe wa cc na halmashauri kuu yeye kwa nafasi yake na wengine wachukia maovu ndani ya ccm walifanya nini kabla ya yeye kuyasema hayo kupitia makutano show?!

Kama alikaa kimya na hakuweza kusema kitu bora angeendelea kukaa kimya kuliko kuanika udhaifu na upumbavu wao. Mtoto wa baba wa taifa kang'olewa kwa milioni 300 za rushwa, chama kimefanya nini baada ya kugundua kuwa Makongoro kachezewa rafu?! Usanii mtupu.

Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nape kichwa cha nazi tu kumbe na yeye, nilidhani baada ya kupata masters atakuwa ameongezeka kiakili lakini kumbe nehi nehi.

Mtu amejaza wapambe wake kwenye CC na NEC halafu ashindwe kuteuliwa kugombea uraisi? Kwani yeye kichwa nazi hadi ajihakikishie wapambe wa kutosha katika vikao muhimu vya chama? hii uwadanganye hao vijana wenzako wa ccm waliochoka kiakili.
 
Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.

Chama
Gongo la mboto DSM

Hahahaha yaani chama unathubutu kuziba shimo la panya kwa mkate? ccm na rushwa ni sawa na samaki na maji, bila rushwa ccm inakufa sekunde mbili tu.

Nape anakiri kwamba lowasa amejitahidi kuweka watu wake cc na nec halafu wewe unajaribu kukanusha kauli yake? umepima uzito wa kauli ya nape kwamba hata kama lowasa amejaza watu wake cc na nec hiyo haimpi tiketi ya kuwa mgombea!? hahahaha,,, twende dodoma basi tukampongeze mama nonino ameshinda uenyekiti uwt sijui katoa milioni ngapi raundi hii nakumbuka last time alimwaga mpunga hadi mama kahama akalia.
 
Last edited by a moderator:

Ahaaa mkuu Mwita mkate una sumu ama zao ama zetu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom