Nape asema Edward Siyo msafi

nachelea kusikiliza, ukakasi wa ujumbe wa Katibu wa uenezi CCM, kama kweli maneno hayo kayatamka mtu huyu basi analeta mambo ya chuki binafsi kwa mtu . kama hakuna ushahidi kusemwa tu inatosha basi nchi hii leo hii labda ingekuwa zamu yangu kuwa mkuu wa nchi baada ya watanzania wenzangu wote kukalia nafasi hiyo kisha kuondolewa kwa kusemwa hovyo bila ushahidi, CDM ,CCM wameshutumiana saana kwanini bado vipo kama vyama vya siasa. asimlishe baba wa taifa maneno yake ya chuki binafsi .EL ni mwanasiasa, mfanyabiashara, mkulima na mfugaji ametumia vzr fursa zake ktk nyanja hizo kumfanya kuwa mwenye uwezo kifedha huku akiacha wengine wakifanya anasa na wavivu wa kujituma sasa imebaki wivu na husuda juu ya EL mwisho kama kusemwa tu bila ushahidi inatosha yy awe wa kwanza kung'oka maana inadaiwa anatumika.
 
Jamanji ifike mahali tuwe objective japo kwa sekunde tu. Nape alichoongea ni kuonyesha chuki yake dhidi ya mh. Lowasa basi. Lowasa hajawahi kutamka popote kwamba yeye ni msafi. Sana sana kama nakumbuka vizuri siku ya kujiuzulu uwaziri mkuu aliwaangaliea wabunge na kusema tukianza kuangalia mambo kama haya humu ndani nani atabaki? Nadhani alimaanisha kuwa mle ndani hakuna hata mtu mmoja msafi. Ni vizuri Nape akawataja watu au mtu anayemuunga mkono kuwa rais mtarajiwa kulikoni kupoteza muda kwa kumshambulia Lowasa, na asipokuwa makini sasa hivi anamkusanyia Lowasa wafuasi ambao wana sympasize nae kwa kuonewa kudhalilishwa na dogo Nape. Swala la mtu msafi katika CCM ni sawa na kupigana na mbeba mkaa ukiwa umevaa kanzu nyeupe ukategemea baada ya kumpiga utabaki na kanzu yako ikingali nyeupe kama theruji.
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Siku 90 zilishapita kitambo sana, so, Nape should either put up or shut up.
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Siamini tena maneno ya kuambiwa na CCM kwamba fulani na fulani ni wasafi na fulani ni mchafu kupindukia. We have seen this episode before, remember Mr. Clean... Benjamin William Mkapa?
 
Nape amekosa uhalali kwenda kwenye vyombo vya habari na kuongelea rushwa na matumizi mengine mabaya ya fedha ndani ya ccm. Anazidi kuanika uozo ndani ya chama chake kuwa hakiko makini kuwashughulikia mafisadi kuendelea kujenga mitandao ya urais ndani ya chama.

Cha kujiuliza, kama Nape aligundua kuwa kuna hako ka mchezo ka kupanga wajumbe wa cc na halmashauri kuu yeye kwa nafasi yake na wengine wachukia maovu ndani ya ccm walifanya nini kabla ya yeye kuyasema hayo kupitia makutano show?!

Kama alikaa kimya na hakuweza kusema kitu bora angeendelea kukaa kimya kuliko kuanika udhaifu na upumbavu wao. Mtoto wa baba wa taifa kang'olewa kwa milioni 300 za rushwa, chama kimefanya nini baada ya kugundua kuwa Makongoro kachezewa rafu?! Usanii mtupu.

Divisions in the CCM will never end as long as it's members are corrupt and protects each other. This is Tanzania, this is how CCM they roll. Pokea au chukuwa rushwa ndio sera zao. Without Corruption CCM will never survive

Viva CCM, CCM, CCM, CCM, CCM
 
Kesho mtamsikia akikanusha taarifa hii na kudai amenukuliwa vibaya.

Hawa jamaa ni laana ya watanzania inawasumbua na wataendelea kutumikia laana hii mpaka siku watakapotoka madarakani.

Hawaongei lugha moja tena kama wale waliokuwa wanajenga ule mnara maarufu ujulikanao kama mnara wa babeli kama ambavyo kitabu kitakatifu cha bibilia kinavyosema.Laana waliopigwa wale jamaa ni kama hii wanayoitumikia hawa magamba.
 
Ila wana JF mnanipa wasiwasi hii U-turn ya ghafla ya kumshabikia EL imetoka wapi au ndio ameshawaahidi? TIME WILL TELL!
 
nape una usafi gani hadi uwatuhumu wenzako? ni bora Lowassa ambaye watu wanamtuhumu kuwa aliiba mali za umma tena bila ushahidi wowote, ila wewe nape tuna ushahidi ni muasisi wa CCJ. kosa lako ni kubwa tena lina ushahidi wa kisheria ukilinganisha na tuhuma za Lowassa ambazo ni za kimazingira - achana na Lowassa humuwezi, we bado kijana mdogo sana katika tasnia ya politics za bongo.
 
Nape u r justing wasting our time, kama El ni mchafu iweje ajiimarishe kwenye chama kisafi? Hebu jenga chama, bifu na El ulishindwa, unashindwa na utashindwa. poor u!
 
Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.

Chama
Gongo la mboto DSM
Akiwa kama "mmoja wa watendaji wa chama" hana haki ya kuongelea hadharani maovu ya baadhi ya viongoz wa chama kama vile yeye ni chama kingine. Anatakiwa achukue hatua kuhakikisha hao wasio wasafi wanaondolewa chaman kama hawawez basi yeye atoke kwe nafas za utendaji kwa kushindwa kwake kuwashugulikia.
Mwanao ana tabia mbaya baba unaenda kulalama kwa jiran?huez kua mzika upstairs.
 
Mkuu ishia hapo, umempiga kofi la uso huyo Gamba, safi sana. if u cant fight against him.............
 
Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.

Chadema
Gongo la mboto DSM

Mkuu, mi sitaki kukosoa kuhusu mambo ya kina Magamba, langu ni kuwa hapo kwenye red, usitutilie gundu chama letu
 
Nape tulia uangalie mpira unavyochezwa katikati 6.LOWASA 7.CHENGE 8.ROSTAM nape utabaki kwenye jukwaa la watazamaji
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Angalia hapo kwenye bold, kama hivyo ndivyo ccm isiingie kabisa katika kinyang'anyiro cha urais maana chama kinaongelewa na watu kwamba kinanuka rushwa..

Kwa kifupi hakuna anayefaa toka ccm kama issue ni rushwa...
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Sasa Kama na yeye Nape anajua Lowasa si msafi- of course Lowasa ni fisadi mkuu- kwa nini yeye na Katibu Mkuu Na mwemyekiti wao hawachukui hatua ya kumvua gamba ?

Ndio maana watu wengi wameachana na CCM kwa sababu ya unafiki wa viongozi na chama kwa ujumla kuoza na kunuka kwa kila aina ya uchafu! Hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kusafisha chama. kazi porojo, kwani hawajui watanzania wamechoka na porojo?
Watanzania wanataka Maendeleo na Maendeleo hayawezi kuja bila kuondoa Ufisadi kwa kuyafukuza haya mafisadi papa kwanza.

Hata hivyo hakuna wasiwasi kwa sababu matumaini yetu sasa yako kwa pipoooooz...
 
Kwa pointi ya nape kuwa siyo lazima kuwe na ushahidi badi watu wakihisi na kuongea inadhihirisha uchafu wake bac anakiri chama chao kimejaa mafisadi wengi wakiwemo kina chenge,lowasa et al bt hawachukuliwi hatua.wao kama chama wanafahamu hivyo lakini hakuna uchukuaji wa maamuz magumu kwan ni kanuni zao kulea mafisadi na wezi.watasema yote mpaka tufike 2015.

Mbona watu wasema na kuhisi Nape hana huwezo kwa kazi aliyopewa CCM?
 
sijaona mtu waku compete na EL,yule mtu ni hatari kwa strategies,pia wale ma brain boxes wote wako kwake,mind yeye na timu yake ndio iliyoweza kuwa convc wakina Apson na wengine ile waweze kumpitisha jk.to me upande wa pili una kazi ya ziada ya kumnyang'anya huyu mmasai kijiti,i believe kama akiupania urais basi da road is clear for him!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom