Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"
Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!
Imekaaje hii wakuu?
Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!
Imekaaje hii wakuu?