Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?
 
Siasa za kizalendo...

Unafiki tu hakuna Jipya hapo!!!
 
Hivi Nape si anamiaka mingapi? Maana najua atakuwa na zaidi ya 35 kwa sasa, Dr je? Nadhani wamepishana na Kikwete si zaidi ya Miaka 2.

Je anaweza kumuita Babu Kikwete?
Je Kikwete anaweza kuwa na Mjukuu wa umri wa Nape?
 
nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale rayol village mjini dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa bwana nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake phillipe mbunge viti maalum chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu dr. Slaa"

akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

politicians are foolish and act like parasite to people!!
 
Nape ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa Babu yake Dr. Slaa. Hizi ndio siasa tunazotaka. Wanasiasa pendaneni...
 
Wabongo washamchoka na usanii wake.Haujamuuliza imekuwaje pamoja na uwepo wake Kilosa mmegaragwazwa chali puuu!!!Heri yake anayo fani ya ziada na tayari yuko karibu na "nataka kulewa",diamond nk.kazi ipo kwa wachumia tumbo wa lumumba.
 
Nape ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa Babu yake Dr. Slaa. Hizi ndio siasa tunazotaka. Wanasiasa pendaneni...

ZeMarcopolo huyo Mwanamuziki wenu ameshindwaje kuwataja kina wasira na kingunge aje amtaje Slaa kwa upendo upi?

"“There’s no such thing as a free lunch." nadhani umenielewa
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

Si mkweli ni unafiki mtupu

Kumbuka na msemo wa wahenga kwamba "Ulimi unaumba". Mi binafsi nimeipenda hii. Sema tu timing yake na location vimekuwa na uhafifu fulani. Otherwise ni gesture nzuri.
 
Jamani, ishu si kuimba wimbo kumhusu Dr Slaa, bali ni huo wimbo huo ulikuwa na maneno gani!
Mleta mada kama ulikuwepo hapo gadern ingefaa uweke hapa hata mashairi mawili na chorus ya huo wimbo tuviweke kwenye mzani na kubaini alichomaanisha.
 
Back
Top Bottom