Nape amjibu Lowassa kuhusu Ajira...!

Ww Nape ni mbumbumbu kuliko nilivyodhania.. Hebu soma Signature yangu chini hapo. Bora unyamaze ili tudhanie unajua. Yaan mama Kabaka analeta hadithi za 2006 kurudi nyuma halafu tumwamini. Hey give us a break kabisa.
Haya tuambie toka Feb 2008 ni mradi gani mkubwa mmeleta nyinyi? Lowassa was everything 4 u guys coz he got plans na anaweza thubutu kuliko Mkwe...re anaiba bila hata mipango. Miradi mikubwa yote alisimamia Lowassa na yy ndio alikuwa mzee mikakati japo only 2 years.
Narudia kusema na nitasema serikali ya JK ni janga la kitaifa na hii CCM yenye sekretariet mbovu kiasi hiki ndio janga bab kubwa kwa watanganyika. Makamba anaonekana alivyo smart hata akiongea lakin Huyu Nape na katib mkuu ni janga la kitaifa +++

Don't argue with fools, they will take you down to their level and beat you with experience, Nape is intellectual light weight!
 
Unafiki wa Nape ni upi?

Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....

Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....

Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....

Mie nakubaliana na wewe kuwa wanakufanya PUNCHING BAG, hii ni kwasababu u mwepesi wa kuongea na pia una SIDE hadharani. Inaonekana sio mnafiki wewe kaka ila umekamatika katikati ya mafahali wawili wanaopambana.

Turudi kwenye mada halisi ya tatizo la ajira. Je si ni kweli kuwa tuna tatizo na suala la ajira kwa vijana? kama ni kweli si ni A TIME BOMB?

Au hamjui maana ya TIME BOMB?

Acheni siasa Nape. Suala la ajira la vijana Tanzania kweli ni a time bomb kaka!

Lowassa is right on that!
 
Mie nakubaliana na wewe kuwa wanakufanya PUNCHING BAG, hii ni kwasababu u mwepesi wa kuongea na pia una SIDE hadharani. Inaonekana sio mnafiki wewe kaka ila umekamatika katikati ya mafahali wawili wanaopambana.

Turudi kwenye mada halisi ya tatizo la ajira. Je si ni kweli kuwa tuna tatizo na suala la ajira kwa vijana? kama ni kweli si ni A TIME BOMB?

Au hamjui maana ya TIME BOMB?

Acheni siasa Nape. Suala la ajira la vijana Tanzania kweli ni a time bomb kaka
!

Lowassa is right on that!


Na ndio bomu hilo hilo litakaowatoa CCM madarakani, kama wapinzani wataweza kulitumia
 
Nape na lowasa wote ni vinega,lowasa ni m****e wa kutupwa ni yeye aliyemshinikiza kikwete aondoe msamaha wa ushuru kwa taasisi za dini leo anawazuga kwamba anauchungu na wananchi na vijana,lowasa aja kutuingilia sisi wakatoliki nenda ukafanye hiyo michamgo yako ya ujenzi wa kanisa huko kwenye dhehebu lako LUTHERAN,katholiki hatuna njaa hizo,siku zote tunajenga makanisa yetu hatujachangiwa na mafisadi na wezi kama wewe,usiwarubuni maaskofu wetu na mwisho wa siku tukawaona na wao kama mafisadi,maaskofu wangu wa katoliki chondechonde achaneni na huyu lowasa kama ni pesa za kujenga makanisa sisi kama jumuiya ndogondogo twambieni wapi panatakiwa mshango wa ujenzi wa kanisa tutachanga jumuiya zote tanzania hatushindwi kujenga makanisa yetu..siku hawa wezi wakipandishwa kizimbani wasije sema baadhi ya pesa walilipatia kanisa katoliki ili lijenge makanisa,lowasa muache regina atoe michango kwakua yeye ni mwanajumuiya mwenzetu,na wewe nenda kawapatie walutheri kwakuwa siyo mwenzetu.

Regina anajuwa kuwa katoliki haturuhusiwi kuiba na kuleta kanisani...............Kinega lowasa huwezi kuwa rais wa nchi hii
kama ulivyotabiliwa na joshua...usije tena kwenye jimbo letu la mwanza kutupatia hizo pesa zako za wizi,ishia pale nyakato parish na mshukuru clement mwenyekiti wako wa mkoa kumlubuni paroko wetu...

Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa for president 2001555555555555555!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nape nakuheshimu sana kaka yangu lakini kwa hili la kushindana Lowassa sikuungi mkono sababu najua hutafika kokote. Iwapo m/kiti wako JK aliliambia taifa kuwa Lowassa alipata "ajali ya kisiasa" unategemea leo ukimwambia kuwa Lowassa ni fisadi atakuelewa. Vile vile kumbuka Lowassa si wa leo hata enzi baba wa Taifa alijua kuwa Lowassa ni fisadi ndio mana alimuenguwa kwenye kinyanganyiro cha urais mwaka 1995. Je, ufisadi unaopingana nao ni huu wa richmond ambao hata JK yumo au huo wa tangu miaka ile ambao ndio ulitumika kumuingiza JK madarakani? Mie ni mwajiriwa wa umma katika ofisi mojawapo ya serikali lakini kelele zako za kisiasa zinauchefua sababu tunajua siri iliyopo kati ya JK, 6 na mamvi.
 
Katika WATU DUNIANI wanaotakiwa Za Kuambiwa Wachanganye na Za kwao Ni Nape. Tatizo tulilonalo hapa nchini si mambo ya Mtu mmoja mmoja bali ni mfumo mzima uongozi na uwajibikaji. Sio siri kwamba viongozi wa Tanzania kwasasa hawana miiko.Matokeo yake ndio ufisadi ambao Nape amekua akiuhusisha na baadhi ya watu asiowapenda/walio kwenye "kambi" tofauti na ya kwake, Uhuni kama wa Mwigulu na Malima na uropokaji Kama unaofanywa na Sitta, Chiligati, Manumba, Mwakyembe,n.k. Kuhusu uwajibikaji tumeona WATU walioshindwa kazi wakiendelea kuwepo kwenye uongozi. Mifano ni Ngeleja! Mwandosya na Mwakyembe.
Kwa Hali hii Nape kushambulia Mtu mmoja mmoja kutakumaliza mwenyewe.
 
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....[/QUOTE]

mkubwa kwa nafasi uliyonayo kubali kukutana na changamoto teh teh teh
 
Hivi kazi ya nape nikupambana na EL tu? jamaa kila anachoongea mnafuatilia ili mumjibu. mnampa umaarufu mara dufu. waziri anasubiri lowasa aseme ndo alete mapishi ya takwimu zake. Ajira kwa vijana is real time bomb. watu wanamaliza chuo wanakaa kijiweni five yrs bila kazi wakati kuna wengine kazi zinawasubiri wamalize chuo. nape nae analeta porojo zake. propaganda kwenye realities ni upuuzi.
 
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?

Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe na Nape. Lowassa hana moral authority ya kuisema serikali ya ccm kwa lolote lile. Amekuwa sehemu ya matatizo mengi yanayoikumba nchi hii na watu wake, na hajawahi kuonesha huruma hiyo anayoitangaza sasa! I don't care alishikiriana na nani wakati akiwa waziri wa kawaida na hata pale alipopata nafasi ya uwaziri mkuu, but the fact that hakulishughulikia swala la ajira kwa vijana when he was in power leo hii hawezi kuwasema wenzake.

Kwa sasa Lowassa anafaidi mafao (walau kwa kiasi fulani) ya uwaziri mkuu mstaaafu, pia yeye ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya ulinzi na usalama na pia ni mbunge wa Monduli (CCM). Anazo njia nyingi za kuishauri serikali yake ya ccm kama kweli nia ya dhati ya kutatua tatizo la ajira. Lakini kwa kuwinda majukwaa ya kanisa sio tu unafiki lakini pia anaonesha kuwa ni mtu anayependa kugawa watu kwa manufaa binafsi.

Na ningependa kujua, ajira kwenye jimbo la Monduli ikoje?

Nikirudi kwenye kamati ya bunge anayoingoza yeye Lowassa, sijamsikia akisema chochote kuhusu hali ya ulinzi na usalama kwa raia watanzania hasa vijana kutokana na mabomu wanayopigwa na jeshi la polisi! Vijana wasio na hatia wamepigwa rasasi na kufa yeye kama mwenyekiti wa kamati inayoangalia polisi amefanya nini? Au anasubiri akishaondoka kwenye hiyo nafasi ya uenyekiti ndio aanze kuongea kuhusu ulinzi na usalama?

Lowassa sio masikini, ana mali nyingi, ana hela nyingi, na amekuwa kwenye ngazi mbalimbali za uongozi ndani ya chama chake (CCM) na serikalini na sasa ana state pension nzuri sana kama waziri mkuu mstaafu. Ningeshukuru kama angewaacha watanazania wakapumua sasa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 40, we dont need to kuwa subjected kwenye siasa za kuviziana kwa miaka.
 
Kutegemea serikali itoe ajira kwa lundo la vijana wanaozagaa mitaani ni unafiki mkubwa sana, na wimbo wa wanasiasa mufilisi. Je ajira mpaka itoke serikalini? Tunalalamikia watoka nje wanaochukua ardhi yetu na kuzalisha mazao lukuki, mpaka wageni wengine kuwa wenyeviti wa vijiji, je kilimo sio ajira? Kwa nchi zilizoendelea ajira ni mpaka ile inayopelekea ulipwe mshahara kwa sababu huwezi pata ardhi nzuri ya kulima au hata kuanzisha biashara yako ya mifugo, kila eneo lina mwenyewe. Hii ni hata pale Kenya. Nilikuwa mpanda Kalemi, kule nimepewa eneo bure, gharama yangu ni kufyeka misitu tu. Vijana wenyewe tunaotaka waajiliwe ni wapi hasa? wanaelimu gani? na ni kwa nini wao hawawezi kujiajili?

Ah, vijana ni bomu, hiyo ni kweli kabisa kwa sababu ni rahisi sana kuwatumia vijana wenye uwezo finyu wa kufikiri kwa matakwa binafsi ya kisiasa wakaandamana nchi nzima kudai ajira, ambazo kwanza hawa uwezo wa kielimu, achilia mbali utashi wa kufanya kazi hizo. Watu wengi sana ni mashuhuda wa usemi usemao 'kama unayataka mali, utayapata shabani, kwa kujibidisha na kuwa makini kwa kile unachofanya.
 
Haya Nape rudi ujibu hoja za watu hapa. Ki-ukweli toka sakata la kujivua gamba, namna ulivyokula matapishi yako, wenye akili timamu hawawezi kukuamini tena. Nape, Sita na Mwakyembe ni wanafiki watupu na mnachangia kukiuua chama cha Mapinduzi. Binafsi kosa kubwa la Lowasa kwangu ni kitendo alichoshirikiana na RA kumuungiza ****** Ikulu, vinginevyo haya yote yasingekuwepo. Kuhusu suala la ajira kuwa ni Bomu linalosubiri kulipuka, huo ni ukweli 100%.
Suala kuwa alifanya nini EL akiwa madarakani hapo ndipo inapodhihirisha kuwa wewe ni mvivu wa kufikiri, muulize hilo swali Mkapa, alivyoenda kuwadanganya watu Arumeru kuhusu ardhi kuwa ataenda kwa ******, je alivyokuwa mtawala alifanya nini?
 
anaweza kukana kuwa Hajasema na atalipandisha mwananchi mahakamani! Magamba ni zaidi ya kinyonga!
Nape ni mnafiki mkubwa hakuna asiyejua hilo,yeye kila kukicha lowassa,kuna siku atasimama jukwaani na kulamba matapishi yake kuwa lowassa msafi,kwanza uwezo wa kufikir wa nape ni dhaifu sana hana tofauti na mwenyekiti wake wa chama,pamoja na Jk kukana kuwa yeye si dhaifu lkn ukweli unabaki kuwa kwa sasa nchi inaongozwa na viongozi dhaifu,udhaifu wa serikali ktk kutatua kero za watz ndo hoja ya lowassa...
 
Nape ni mnafiki mkubwa hakuna asiyejua hilo,yeye kila kukicha lowassa,kuna siku atasimama jukwaani na kulamba matapishi yake kuwa lowassa msafi,kwanza uwezo wa kufikir wa nape ni dhaifu sana hana tofauti na mwenyekiti wake wa chama,pamoja na Jk kukana kuwa yeye si dhaifu lkn ukweli unabaki kuwa kwa sasa nchi inaongozwa na viongozi dhaifu,udhaifu wa serikali ktk kutatua kero za watz ndo hoja ya lowassa...

His Mouth walks faster than his brain
 
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?

Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....

Nape.
Nakuomba uwe realistic, hauwatendei haki vijana kwa kutoa comparizon kati yetu na nchi za nje, wewe ni mwanasiasa ni lazima ukumbuke hilo wakati wote, katika hili ni bora ukatae kutoa maoni yako sababu si razima utoe maoni kwenye kila issue.

Katika ncho zote zinazounda Jumuiya ya Africa Mashariki Tanzania ndio inapopulation kubwa kuliko zote, na takwimu zinaonyesha kwamba sehemu kubwa ya population ya Tanzania ni Vijana, kwa mantiki hii ni vigumu sana kwa swala la ajira kwa vijana Tanzania ikawa better than any of the east african fellow countries, achilia mbali hali ya uchumi wetu kuwa mbovu na iliyoshindwa kukidhi mahitaji ya watanzania.

Kama nia yako ni kumjibu Lowasa, sababu nakuhakikishia kwamba hata acha aka kamchezo kake ni bora utoe comment fupi sana kwamba NI KWELI KUNA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA NA SABABU NI KUSHINDWA KWA SECTA YA NISHATI KUUSUPPLY UCHUMI WETU NA UMEME WA KUTOSHA KWA MUDA SASA.

Hapa utakuwa umemrudishia mpira lowasa kwamba madudu yake ya Richmond na Dowans ndio chanzo kikuu cha matatizo ya ajira kwa vijana.

then unaendelea kula bata. kwa hiyo ukiambiwa umekurupuka usikarike kwanza kukurupuka sio tusi, wengine tunaomba fursa za kuelezwa tumekurupuka ili tujirekebishe lakini hatuzipati

Mtoto hakui bila Fimbo Nape
 
Mkuu,
mm ninachoona ni kweli kuna tatizo la ajira hapa kwetu TZ maana kazi nyingi tuwezazo sisi WaTZ Commissioner wa Uhamiaji na wa KAZI wanawaleta wahindi,wapakistani,Wakeiiii.je kwann wasiwakatee hao wageni kuwapa vibali?
hili ni tatizo kwa ajira za vijana (WaTZ) na nina muunga mkono Mh. Lowasa NA SI SAHIHI ETI UKIWA NJE YA SYSTEM USIZUNGUMZE,hata kama unaona!!!! HAPANA
 
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?

Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....

Kama ni maneno ya Nape Pole sana kijana dont give up, usiwasikilize wapinzania wako ukawa quitter,I mean dont give up because always the quitters never win.

Umeongea ndio Nape ni vyema umemjibu wewe mwanaccm mwenzenu aliea amua kupindisha HOJA YA MSINGI wakati nchi nzima inalia na chanzo kilicholeta na matokeo anayopigia kelele huyo mwanaccm mwenzenu, yeye anashupalia matokeo hataki tuzungumzie chanzo.Ni mtanzania gani asiyezungumzia UFISADI lakini kamwe sijapata kumsikia nae AKITAMKA JAPO NENO FISADI kama msamiati.

Wengine tulishasema kuwa ujio wa takwimu,itakuwa ni kuichezesha Seriikali shere,kilichotakiwa ni kitengo chako kujipanga na kumpa dozi yake ,manake anasema Serikali pia inatakiwa maombi hakika kawachoka.

Mimi kwa upande wangu nilishasema sina chama,nina itikadi za UTAIFA,kwa kuwa kwa haiba ya kabila langu michezo ya siasa leo unasema hili kesho unakana ulilokwisha sema basi kwa kabila yangu ni marufuku kwetu tukimaanisha jiwe tunasema hili ni jiwe na jembe ni jembe MULA!!!! na si vinginevyo.

Kikwetu tunasema UITANE IKIMULA,UTATIGHA KOBHOA!!!.....ndio tafsiri yake waulize wenye kujua !!!!!!!.Bhiita ni bhiita mula unagucha muchini na chembe mula, unagucha kulima lami,muchini watu wanagucha na byeti mula!!.

Hivyo najua wanachadema wangependa kuona wewe unatoka CCM,lakini mimi binafsi nimeshawaambia Wana CDM maombi yao kuwa CCM ife mie duwa langu CCM iwepo,na kama wananchi wataiweka pembeni kwa idhini yao basi nao wawe chama cha Upinzani,kama ambavyo CDM ni chama cha Upinzania leo.

Imetuchukua Tanzania miaka ishirini na ushee kuunda chama cha Upinzania CDM Tanzania bara,leo hii CCM,ikifa kesho ok CDM akawa madarakani watchdog wetu wananchi ambao hawata furahishwa na nguvu ya mwenendo wa Serikali ya CDM atakuwa nani?Wasiangalie bora kifo cha CCM bali sie wengine binaafsi kuona jicho la UTAIFA tunaitakia CCM iwe hai nayo kwa makosa yake ije ihukumiwe kwa kipimo chake na si kifo.

Hivyo mpambanaji uliye ndani ya kofia ya CCM,pambana usihofu,pokea vikwanzo na matusi kama changamoto,manake binadamu kuongea ni sehemu ya maisha,na ndio linapokuja swala la uhuru wa kuongea nampa BIG UP SANA bosi wako Mwenyekiti wa CCM,ni bonge ya mwelewa sana mzee huyo.Hakika angetaka kubana uhuru wa habari na kujieleza angeweza lakini kwa kujua madhara yake ambako akibana leo kesho hakika itakula kwake kesho. JK kaacha ulingo huo ujiendeshe kwa kanuni zake zenyewe lakini tunaambiwa mitaani wenzie wanamind kimtindo sana kwa kuachia uhuru huu wa habari,nasi tunasema hawawezi kuzuia haki za msingi za watanzania kuhabarishana kuhusu maendeleo yao.

Ombi langu huna budi kujipanga sana,kwa kuwa kwa jinsi chama chako kilipofika unaitaji AKILI MPYA ZA VIJANA WENZIO na wazee wachache wenye akili zinazofuatilia mambo mapya ya dunia.Kuna aina mbili za wazee,kuna wazee wenye kupenda ukale [wazee wa tabia za obey your superior] na kuna wazee wenye tabia za usasa,yani mzee anayeweza kukaa na vijana wenye umri wa mika 25 akaelewana nao lugha, hao ndio aina ya wazee wanaotakiwa Tanzania kwa sasa.

Mzee mtu mzima anaeweza kuilewa lugha ya kimaisha ya kijana wa miaka 25 na kumuongoza kwenye changamoto zake hakika ndie anetakiwa kushirikiana nao.Hakika Nape wazee hao niliowataja hapo juu uwa unakumbana nao na unajua faida za kimakundi za wazee hao.Kundi la wazee wa kikale ndio wengi sana ndani ya CCM, kiasi kuwa inakuwia vigumu sana wewe kueleweka kwao na uja kukuelewa pale wanapokumbana na REALITY huku kwetu mtaani.

Mfano wakati ulipotaka kupigwa chini lugha yako aliyeijua ni Mwenyekiti wako,lakini wengine wote wazee wa Kikale walikuwekea big no ni lazima uondoke mtoto umekosa adabu.Issue ya Madaktari Kigwa nae alikumbana na wakale nae chupuchupu isingekuwa Mwenyekiti nae kipenga kingemlilia Prriii !!!!.

Hoja ya mifumo ya UKALE ya OBEY YOUR SUPERIOR umekifikisha CCM hapo kilipo,na mbinu za kung'oa wakale hao zinataka umakini na ubunifu mkubwa sana.Kuna wazee walishafanya CCM kama mali yao,yani wao ndio CCM na familia zao.Aina hiyo ya watu waliojimilkisha CCM wewe binafsi unawajua,na hawataki kukubali kuwachia kizazi kipya cha aina yako kuendesha mikakati na shughuri za kichama.Na kama wakimpa kijana basi ni wale vijana wenye mienendo na tabia zao,wale waliokuwa mabingwa wa kutumwa na wakale hao na wengine wakiwa ni watoto wao.Vijana wenzio ambao wewe ungeteam nao bado ni makapi ambayo hayana msaada wowote kwako na ndio maana unaonekana kama uko pekee yako,kidogo DK Kigwa lakini hakuna kijana mwingine ambae mimi naweza kumuita ni INDEPENDENT [FREE-MIND] ndani ya CCM.

Kuna Lugha fulani uwa najalibu kuiangalia kupitia maamuzi ya Mwenyekiti wako,kidogo uwa yananipa matumaini kuwa CCM uenda mbeleni kikawa chama tofauti na sura tofauti,kazi unayo wewe kujenga mazingira ya kuwaaminisha vijana ambao kwa damu ya dhati wanaipenda CCM wajitume kuitetea CCM,ikibidi kupitia vijana hao hao majibu ya kuwaboa wazee wa ukale yapatikane.

Cha msingi jitengenezee mikakati ya muda mlefu na muda mfupi kwa nchi nzima [Long and Short Plan Project] za kuimarisha na kufufua nguvu mpya ya chama na uweke segment zipi utarget.Usiangalie umri wa miaka 45- kwenda juu target kuanzia 45-kushuka chini.CCM yako ilishawaalibu akili watu wa umri wa miaka +45 kuja juu,wengi hawajui kuitetea CCM kwa mantiki zaidi wengi ni fanatic wanatetea kwa kuwa wanafaidika nayo.Lakini huko tunakowenda kuna vijan wapya wapiga kura damu changa hawa ndio ngoma ipo kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015.

Ndio kunakuwepo na sanaa na michezo fulani hivi ya zungusha kwenye uchaguzi lakini mimi na wewe kizazi chetu hakika uwezi ukacheza mchezo huo yani wewe against Zitto au wewe against Tindu Lissu bila nyie wote kustukiana kwamba umenichezea chezo.Hakika kama CCM uwa inacheza cheo, basi kinachoilinda CCM ni hiyo dola vinginevyo timbwili lake la Asha Ngedele cha mtoto.

Michezo hiyo ambayo CDM uwa ina watuhumu CCM kucheza wataicheza mpaka lini?Kwa hilo wewe una budi kuumiza kichwa kutafuta njia sahihi kwa kuwa jamii inaanza kuelewa somo la CDM,hivyo njia halali ni kushindani kwenye sanduku la kura.Manake uko tunakokwenda wananchi wameanza kuzoea milio ya risasi mfano halisi ni Arusha, Tarime, Mwanza, Mbeya, Songea na Tunduma.Hakika miji yote kwa wakati mmoja ikishika moto nina hakika patakuwa hapatoshi na ni muda mwafaka wa baadhi ya watu kwenda The Hague-Kwa Ocampo.

Usiogope hawa wazee wa kale watangoka tu,jipange tafuta geinuine team,zisiwe na majina ya kikubwa kwenye jukwaa la Kisiasa, unda kikosi kazi [Task Force] usingoje uchaguzi,piga underground strategy,mara moja unainua sura moja moja mpya kila mwezi unaitambulisha kwenye majukwaa ya habari [Public Media],ziwe sura zinazojua kuzungumza vitu vya maana na sio haya makapi tunayoyasikia kutoka kwenye wazee wa ukale.Wengine walete humu waje kujibu hoja sio kushambulia watu.Wasije humu kutetea watu kila kunapokuja swala la kuvulunda waje humu kujenga hoja za issue za msingi hata kama ilikuwa ni ajenda ya kujadili jambo au mtu basi wajidili kama watu wenye vichwa vya juu na sio chini.
Mti wenye matunda ndio upopolewa mawe, jipange usiogope baadhi ya social media kukutukana na kukusema,ni kheri tu akusemae vibaya anakutakia kheri kwa kuwa mwisho wa yote dhamila yako ndio jibu la ukweli wako.Be humble and genuine,mengine haya yasikutishe maneno yapo japo yanaumiza,ila kwa wanaojua mambo they respect you man,japo katika mapambano kuna wakati binadamu unafika kujiona kama "mbona sioni mabadiliko na mambo yanazidi kuwa mabaya".Hapana kwa wanaojua issues hata hao CDM wanajua hakika na wewe nae ni kidume kwa kuwa ni ONE MAN ARMY [UKU MAFISADI HUKU CHADEMA] na bado unapeta ilo nalo neno kijana sio mchezo.Hicho nacho ni kipimo cha jinsi unavyoweza kuimili mambo hata kama chama chako kinaweza kushindwa uchaguzi lakini wewe nae kwa upande wako ni mshindi.

Ila kama una watu hunu ndani na ndio haao wanao dandia hoja na kumwaga matusi humu ndani, watoe leta watu wenye kuzungumzia issue wakiwa deep na hata majibu wakitoa basi tunajua wamejitahidi. Tunajua CCM ina lundo la makosa mengi,ndio tunajua yalishatokea sasa ndio kila siku kelele tuko hapo tunapiga soga bla blab la bila kutafuta majibu ya matatizo yetu.Na nyie kwa kuwa mko ndani mtoea majibu ya kuwaangusha wale wote mnaojua kuwa ni mafisadi,iyo nayo pia ni mchango kwa Taifa.

Mwisho chama chako wafanye yote lakini mafisadi wapigwe chini,nje ya yote chama chako kitakuwa na hali mbaya sana 2015 wakati mwingine fedha sio kila kitu.
 
hahahaaa kaka si uliikana hii ID yako hapa JF vipi mbona umerudi bila kubisha hodi? Ulijipiga BAN mwenyewe na sasa umerudi, kaeribu sana tulimis sana haya maoni yako ya kusadikika karibu sana kaka
Unafiki wa Nape ni upi?

Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....

Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....

Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
 
Nawashauri CHADEMA kuwatumia wabunge wake wa Viti Maalumu kuwa mawakala wa vituo vya uchaguzi Arumeru ili kuepuka kuhongwa fedha chafu.
 
Back
Top Bottom