Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Binafsi,si mshabiki wa nani amekusanya umati mkubwa wa watu,kwani hata chizi akivua nguo watu watakusanyika.
La muhimu ni hoja zinazotolewa kwenye mikutano,na kwa hili Chadema imeiacha CCM mbali;kwani wakati CHADEMA wakihubiri sera na namna ya kumkomboa mtanzania,mikutano ya CCM imejaa vijembe na porojo.