Nape akihutubia umati mkubwa

Hapo ni Ilula km 70 toka iringa mjini siku hiyo Jembe Zito Zubery ,Msigwa Mch,Ole milya walikuwa iringa mjin lakini makundi ya watu waliacha mkutano wa nape ilula wakaja iringa mjini kwenye mkutano wa CDM
hahah, yaani pale ilula wale walima nyanya na wanunuzi wa nyanya walivyo wengi, unajua huu ni mji mkubwa kabisa, siamini kama angepata watu kiduchu namna hii, kama ndivyo...basi ccm wasome nyakati na majira..kiama chao kimekaribia. ilula na iringa mjini ni mbali sana, ukiona watu wamepanda gari toka ilula hadi iringa kwenda tu kuhudhuria mkutano wa chadema, ujue baasi wameelimika. hapo ilula ni jimbo la prof msola.....
 
wapi huko.aisee ni wengi sana.alitumia mbinu gani?

attachment.php
 

Attachments

  • JK na kimwana.jpg
    JK na kimwana.jpg
    22.7 KB · Views: 1,578
hapo soko la iringa pana watu wengi ajabu, kwanini aweke mkutano hapo sokoni kwenye eneo chache kiasi hicho lakini asiweke mkutano kwenye viwanja vya samora, kreruu au maeneo ya kihesa kule?....hao hapo walikwua wanunuzi wa bidhaa walikuwa wanapita tu, wakasikia mtu anapiga kelele wakasogea wasikilize kuna nini....eneo hilo aliposimama ni padogo mno, yaani padogo kabisa....
 
kumbe sisiem bado wanakubalika kiasi cha kukusanya umati mkubwa namna hii? CDM 2015 mnakazi kubwa yakufanya

kamata wezi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!!!!!:plane::shetani:
 
jamani kazi anayofanya nape ni nzito sana,kupita na kuongea mbele ya watu wanaokuona zuzu yataka moyo...hongera nape kwa usasiri huo mimi kwa akili yangu siwezi kufanya hivyo
 
Huyu Nape akili zake sijui zikoje..........Unafanyaje mkutano Soko Kuu la Mji wa Iringa?? ili uweme watu wamekuja wengi?
Katika hali ya kawaida sokoni huwa kuna watu wengi......

This guy is begining to act like MUKAMA.....the end of the slow beginning!!!:A S 112:
 
hapo soko la iringa pana watu wengi ajabu, kwanini aweke mkutano hapo sokoni kwenye eneo chache kiasi hicho lakini asiweke mkutano kwenye viwanja vya samora, kreruu au maeneo ya kihesa kule?....hao hapo walikwua wanunuzi wa bidhaa walikuwa wanapita tu, wakasikia mtu anapiga kelele wakasogea wasikilize kuna nini....eneo hilo aliposimama ni padogo mno, yaani padogo kabisa....

asante sana mkuu, hawa magamba wanashindwa kung'amua kitu rahisi hivi?? Yani kusoma hawawezi hata picha hawaoni?? Soko kuu la manispaa ya iringa alafu unasema umejaza?? Tehe tehe.....
 
Watu wengi wanaanzia wangapi, atasema hata wawili ni wengi, cha msingi abadili mbinu, hii ya mikutano CDM hawezi kuwafikia. Aanze jambo jingine labda azifuate baadhi ya taasisi.
 
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.

Siku nyingine usiweke picha kama hii unamkatisha tamaa tutakosa wa kucheka nae 2015 mbali bila kuwa na kina nape kuleta vituko mara oil chafu tunacheka, ukionyesha picha tena atajitoa ccm na sisi tunataka abaki pekeye kimfie andiko litimie. Ngumi nzuri ni za mohamed ali alikuwa anafurahisha watazamaji lkn za tyson uko ktk foleni ya tiketi kamaliza, cdm legezeni wafike 2014 wakabidhi Nchi vizuri kuingia ikulu bila handing over haipendezi unakosa pa kuanzia.
 

Nimegundua Nape anatengeneza afya.. Angalieni kitambi hicho jamani.. Inawezekana wakati nyie mnamshambulia na kumuita gamba mwenzenu anajali mshiko anaouingiza.. Hongera Nape.. Ukirudi Dar uje maeneo ya Posta mpya pale.. Jioni wanajaa wasafiri wanaorudi majumbani.. Unapiga vuvuzela lako mshiko unaingia..
 
Naona kama kazindua kampeni ya kula posho ya chama vile au??????hivi si anapewa per diem na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom