Nape akihutubia umati mkubwa

Binafsi,si mshabiki wa nani amekusanya umati mkubwa wa watu,kwani hata chizi akivua nguo watu watakusanyika.
La muhimu ni hoja zinazotolewa kwenye mikutano,na kwa hili Chadema imeiacha CCM mbali;kwani wakati CHADEMA wakihubiri sera na namna ya kumkomboa mtanzania,mikutano ya CCM imejaa vijembe na porojo.
 
A. Pale Ilula watu wengi wanatokea milimani ambapo malori hayawezi kufika kwa urahisi. Hivyo ndio maana hatukupata watu wengi sana. Ila afadhali hii maana kuna nyingine tumezihifadhi nadhani tutazidelete tu.
B. Ila hii ya hapa Iringa ilibidi nitoe wazo kwa mkubwa kuwa inabidi tufanyie mkutano kwenye mikusanyiko ya watu la sivyo tutapata aibu.

Alilikubali wazo langu ila tukaanza kupitia kimoja kimoja:-
1. Hospital - Hili lilikuwa gumu kwa sababu tungepigia wagonjwa kelele.
2. Shuleni - Ikategemea na mida maana ilikuwa tuanze mchana na pia picha zingetoka na watoto wengi.
3. Stend - Tatizo kubwa la iringa stend pale hakuna open area ya kufungia jukwaa halafu CDM wengi.
4. Ndio tukapata sokini kama munavyoona. Ilikuwa kazi we acha tu.

Ahsante.
 
attachment.php

Hisia hazina sauti, lakini huonekana machoni. Huyu dada ni nani nyie Watanzania?
 
A. Pale Ilula watu wengi wanatokea milimani ambapo malori hayawezi kufika kwa urahisi. Hivyo ndio maana hatukupata watu wengi sana. Ila afadhali hii maana kuna nyingine tumezihifadhi nadhani tutazidelete tu.
B. Ila hii ya hapa Iringa ilibidi nitoe wazo kwa mkubwa kuwa inabidi tufanyie mkutano kwenye mikusanyiko ya watu la sivyo tutapata aibu.

Alilikubali wazo langu ila tukaanza kupitia kimoja kimoja:-
1. Hospital - Hili lilikuwa gumu kwa sababu tungepigia wagonjwa kelele.
2. Shuleni - Ikategemea na mida maana ilikuwa tuanze mchana na pia picha zingetoka na watoto wengi.
3. Stend - Tatizo kubwa la iringa stend pale hakuna open area ya kufungia jukwaa halafu CDM wengi.
4. Ndio tukapata sokini kama munavyoona. Ilikuwa kazi we acha tu.

Ahsante.

Mkuu nitaomba uwe mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya harusi ya Las Mas Bobos manake yaonekana hushindwi kitu wewe. Kwa jinsi ulivyopendekeza soko kwa kuwa lina ready made audience nimekukubali mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani Nape na yule mhubiri wa pale posta mpya anayehubiri mchana na jioni regardless kuna audience or not hawana tofauti. Labda mavazi na kitu wanachohubiri
 
Aiseeeeeeeeeee kweli umati balaaaaaaaaaaaaa, nyinyiemu mnatisha

  • :blah:
 
Siku nyingine usiweke picha kama hii unamkatisha tamaa tutakosa wa kucheka nae 2015 mbali bila kuwa na kina nape kuleta vituko mara oil chafu tunacheka, ukionyesha picha tena atajitoa ccm na sisi tunataka abaki pekeye kimfie andiko litimie. Ngumi nzuri ni za mohamed ali alikuwa anafurahisha watazamaji lkn za tyson uko ktk foleni ya tiketi kamaliza, cdm legezeni wafike 2014 wakabidhi Nchi vizuri kuingia ikulu bila handing over haipendezi unakosa pa kuanzia.

dah kweli kabisa mkuu tutakosa comedy ya bure.
 
Nape hana Jipya ale kona Vuvuzela huyo hata hao wanamsikiliza walipewa 5,000/= unaweza kununua wasikilizaji hii kali ya mwaka na inatisha
 
jamani lakini nape si anapata chochote ndani ccm mwache aendelee kutafuta ugali wa watoto ila ukweki anaujua sana na yy anatamani sana kuja chadema ila majukumu tu.
 
Atakuja kujitetea katibu wa Uchochezi na Uenezi wa Majungu Bwana Nnauye Jr atasema Mafuso na bodaboda yalichakachua Wanamagamba
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom